Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

Okay katika 17 umejibu matano tena mawili hujapinga kama hilo la Riba yanabaki matatu.. unasema nimeongea uongo asilimia 80 hivi huko shule mnafunzwa ujinga? Ngoja nirudi kukujibu
 
1. Nimesoma vyanzo vya mabedui walio mkolimba gadafi kweli wanasema umeme haukuwa bure. Ila elimu na afya ilikuwa bure. Bei ya umeme ilikuwa chini kuliko nchi yoyote ulimwenguni. Wakati Libya wakitoza sent 1.5 marekani walitoza sent 12... hapo umeshinda ndugu yangu
2. Hakuruhusu riba kwa kuwa ni haramu? Kuna shida gani zaidi ya unafuu?
3. Wazaz wa Gadafi ni kweli hawakufa kwenye hali nzuri. Na Gadafi hakuishi kwenye mahema ya kifahari ila alilala kwenye "mahema"
4. Sijaelewa ulivyoandika kuhusu mafuta ila elewa kuwa Gadafi ndiye aliye asisi umoja wa nchi zenye mafuta duniani akiwa na akina sadam na mzee Asad.. alidhibiti vyema rasilimali hii na iliwanufaisha wa Libya kweli kweli
 
Gaddafi alikuwa anafadhili vikundi vya magaidi kama IRA cha UK, waliolipua ndege ya Pan-Am flight 103 huko Lockerbie 1988,Aliachana na ugaidi na kulipa baadhi ya wahanga fidia baada ya kuona US imeivamia Iraq na Saddam kukamatwa na kunyongwa.
 

Algeria walikuwa upande wa Tanzania na walisaidia kwa vitendo
Vita ina washirika ila watu wameona kama udini zaidi
 
Ward41 nchi ile haiwezi kutulia kwasasahiv. Had leo ni muongo m1 toka wamuue Gaddafi nazan itawachukua zaid ya miongo kadhaa ndio patulie

..umesahau Gaddafi, Wapalestina, na Iddi Amin, walivyoungana dhidi ya Tanzania ktk vita vya Kagera na Uganda.

..vijana wa Jwtz wasingewatembezea kichapo maeneo ya Sembabule na Lukaya huenda Tanzania ingeangukia mikononi mwa Waganda na Walibya.
 
6. Elimu Libya ilikuwa bure tangu nchi hiyo inapata uhuru lakini mbovu, sekta ya Afya bure lakini mbovu hali iliyowafanya matajiri wengi kwenda kutibiwa nje ya nchi.

7. Wakati wa Gaddafi sekta ya Kilimo Libya ilikufa na karibia kila kitu walikuwa wanaahiza kutoka nje.

8. Akili za kawaida tu zilipaswa kukuambia kukufikirisha mtu anawezeje kuwa na pesa nyingi za kuwapa raia wote halafu ashindwe kuwapa elimu na huduma za Afya za daraja la kwanza.
 
Nikujibu kwenye afya na elimu kidogo.. mi nafahamu alitoa huduma nzuri kulingana na uwezo wa technology ya taifa lake. Kumbuka, kama ilihitajika kusoma nje ama kutibiwa nje Gadafi aligharamia.

Kilimo umedanganya mkuu na ukasome tena. Kumbuka Libya aliikuta ikiwa jangwa. Akafanya kile kilichoitwa ajabu la nne la dunia mradi mkubwa wa kilimo Beghazi kwa maadui zake. Alilima sana matunda, mboga mboga na ngano na aliuza sana mpaka italy
 
Aliyetoa Amri kuhakikisha Kanali anakata Moto alikuja kuwaambia wananchi wa Libya mtamkumbuka Kanali .... Obama hypocrite mbaya Sana
 
Kwa hiyo kwa Tanzania ukumbusho wake ni kujenga misikiti ? uliwahi kujiuliza alichowafanya wapinzani wake, hebu tuletee pia makundi ya kihalifu aliyoyadhamini nje ya Libya!
 
Wewe ulitaka afanyie nchi yako nini cha ziada , kwani nyinyi mliifanyia Libya jambo gani?
Gadafi kudhamini vikundi vya kiharifu labda ujanani ambapo alihusishwa na shambulio la kuangusha ndege ya mabedui ambao wanawaueni nyie kila uchwao, kumbuka aliingia madarakani akiwa na miaka 28 tuu...
Gadafi wa miaka ya baadae hasa baada ya kuvunja lile baraza la watawala la kwanza hakuwa muhuni, alikuwa mtulivu.
 
Licha ya madhaifu mengi mko yataja humu..Gadafi alikuwa na mazuri mengi mno yasiyo pimika kwa mizani.. bahati mbaya binadamu huesabiwa kwa mabaya yake na sio mazuri yake.
 
Alimfadhili nduli atupige alifadhili makundi mfano kundi la tuaregi, na kundi la seleka. Aliwagawa waafrika kwa misingi ya dini.
Ndio mana alikufa kifo kibaya umbwa yule..ndio alikua mfadhili wa nduli katika vita vya uganda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…