Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

Wavaa kobazi watapinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliwapumbaza walibya..ili awaibie na kuwatawala..alikua kiongozi wa hovyo sana.

Ndio mana aliuwawa na walibya wenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Aliwapumbaza walibya..ili awaibie na kuwatawala..alikua kiongozi wa hovyo sana.

Ndio mana aliuwawa na walibya wenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
Miaka yote ya utawala wake alikula pamoja na wa Libya.. tofauti na Mobutu anakula na franceee
 
Licha ya madhaifu mengi mko yataja humu..Gadafi alikuwa na mazuri mengi mno yasiyo pimika kwa mizani.. bahati mbaya binadamu huesabiwa kwa mabaya yake na sio mazuri yake.
He's dead and gone kwa mabaya yake ndio yalimfuta ndio mana alikufa kifo kibaya sana tena chini ya wananchi wake mwenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
He's dead and gone kwa mabaya yake ndio yalimfuta ndio mana alikufa kifo kibaya sana tena chini ya wananchi wake mwenyewe.

#MaendeleoHayanaChama
Walimuua kifo kibaya ukifananisha na mazuri aliyowafanyia.. kwa ujinga wao wamelaaniwa milele kama kongo
 
Waafrica wengi tuna amini utawala wa kiimla na wakifalme kwani tumetoka huko. If is very unfortunately hata sasa generation hii inatumbukia kwenye mawazo hayo ya kiimla. Watanzania wameaminishwa socialist ndio njia bora hata katiba yetu imeshindwa kuliweka hilo pembeni ndio unaona hata utawala uliopita ulijaribu kurudisha ujamaa, na siasa za kugombea uhuru, uzalendo, mabeberu nakadhalika na kuliweka Taifa kwenye mtego mgumu, ambao sasa Rais anajitahidi kulikwamua Taifa. Nchi hii inahitaji katiba mpya itakayo toa Taifa kwenye mrengo huo ambao kwa serious invester akisoma katiba yetu hataweza kudhubutu kufanya serious investment in this Country amboyo nguvu zote za maamuzi zipo kwa mtu mmoja ambae ni Rais. We need katiba inakayo define our path to our economy, power zirudi kwa wananchi and future tunayoitaka.
 
Hili swali kama ungewauliza wananchi wa Libya au Marekani walioweza kujipenyeza baada ya kumuua Ghadaffi na kuanza kuiba mafuta ya Walibya nafikiri wangekupa majinu mazuri sana
 
Wewe hata kama ulikuwa umezaliwa lakini bado ulikuwa kijijini na ukisikilize ile redio ya mkulima tu. Uelewa wako kuhusu propaganda ni mdogo sana. Nashangaa mpaka hii leo bado hujaondoka huko na hizo fikra zako mgando.

Kuungana na Idi Amin kuua Watanzania, kwani Nyerere alipovamia Uganda baada ya kumfukuza Amin nje ya mipaka ya Tz kulikuwa na issue gani, tuseme ya kidini nayo ya kumrudisha mkristo mwenzake madarakani? Na nchi ikabakia kwenye lindi la umasikini kwa miaka nenda rudi badala ya miezi 18 ya kufunga mkanda.

Kuhusu kubebesha machangudoa misahafu, huoni kama yeye ndiyo amedhalilisha dini yake kwa hivyo? Vyombo vya magharibi vilikuwa vinaripoti vile wanavyopenda wenyewe au hulijui hilo bado ulikuwa kijijini?

Huoni kwamba hiyo ya kuwahonga viongozi wa Afrika ili wasilimu hata kuingia akilini haina nafasi kama siyo propaganda yenyewe?

Kijana bado nenda shule ukasomee taaluma ya propaganda.
 
Hapa nchi za maziwa makuu East Africa kiongoz mmoja amesema anajiandaa kutawala miaka 21 zaid shithole continent
Nilijiuliza anamkataba na Mungu, Amefanya mazuri ila angepaswa kuepuka kosa la Gadafi la kujijengea utawala wa milele
 
Magufuli hakuwa mjamaa hana sifa za ujamaa inabidi ujue kutofautisha Kati ya Socialism na Dictatorship
 
Magufuli hakuwa mjamaa hana sifa za ujamaa inabidi ujue kutofautisha Kati ya Socialism na Dictatorship
Kwangu mimi naona alikuwa na vyote, ukiangalia alivyotaka mashirika ya umma au taasisi ya umma uzinye kazi zote na kuwapokunya wananchi, hizi mimi naona ni ujamaa huo. Ujamaa si vijiji vya ujamma tu hata uendeshaji wa nchi unaweza ukareflect ujamaa.
 
Alafu unapaswa ufahamu kuwa dhamira ya Mwalimu ilikuwa kumwondosha Amini katika ardhi ya Tanzania na hilo alilifanikisha Ila Amini alikuwa anauwa watu wauganda hata kabla ya uvamizi wake Tanzania kwa hiyo wanganda waliowengi hawakumpenda Amin baada ya kupigwa na Tanzania na kukimbilia Uganda yeye na kajeshi kake nguvu nyingi za kijeshi waliishiwa hivyo wananchi wa Uganda wakaona hii ndio nafasi ya pekee waliyo nayo ya mkutoa Amin Ila kwa kuwa hawakuwa na Nguvu ya jeshi hivyo wakaliomba jeshi la Tanzania likawasaidie kumg'oa Amin Nyerere akaona sio tabu kupeleka jeshi ndani ya ardhi ya Uganda akawasaidie waganda waliowengi kumwondosha mshenzi Amin na ndipo Amin alipo furumushwa .
 
Kwangu mimi naona alikuwa na vyote, ukiangalia alivyotaka mashirika ya umma au taasisi ya umma uzinye kazi zote na kuwapokunya wananchi, hizi mimi naona ni ujamaa huo. Ujamaa si vijiji vya ujamma tu hata uendeshaji wa nchi unaweza ukareflect ujamaa.
Yule mtu alikuwa anafanya Democratic Dictatorship lakini ujamaa ulikuwa mbali na yeye mtu pekee aliyefanya ujamaa hapa Tanganyika ni Mwalimu baada ya kutoka yeye madarakani na hapo ndipo ujamaa ukazikwa
 
Nilijiuliza anamkataba na Mungu, Amefanya mazuri ila angepaswa kuepuka kosa la Gadafi la kujijengea utawala wa milele
Africa ubinafsi tu anaona akimwachia mwengine atafaidi Sana unakuta kiongoz limesoma bado jinga halijielewi na huwa hawajifunzi kwa wenzao waliopindulia
 
Wewe Andazi kweli kweli. Sisi kumkimbiza Amini nduli tulikuwa na haki ya kisheria Sikiliza we andazi usiyejua chochote zaidi ya kujaza server za jamii forum kwa matapishi yasiyo na maana kwa mnavyolishwa kuwa huyu mwalifu wa kivita alikuwa mtu mwema wakati ni haini la hovyo kabisa

Amini alichokifanya kwa Tanzania ( sio kwa Nyerere) ni kuivamia nchi ambayo kwenye sheria za kimataifa inaitwa Crime of Aggression. Hivyo kwa mujibu wa sheria za kimataifa tulikuwa na wajibu wa kumfukuza , kumpiga na hata kumuua ikiwa ni kujilinda ( self defense) pamoja na kulipiza kisasi kwa kosa alililo lifanya.

Sasa niambie huyo mdini kutoka kaskazini mwa Afrika ambaye hatukuwa na mgogoro naye kilichomsibu kuja kutuua sisi ni nini? Sisi ndio tuliovamiwa na nduli, hivyo yeye ndiye aliyemtuma ili atimize ile azma yake ya kuibadilisha Afrika mashariki kuwa dola ya kiislam na kumsimika amini kuwa Amir wa afrika mashariki siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…