Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Modereta anakuja kutoa hii chafu apa
 
Hiyo sio kazi ya AU, AU wana mipaka na haiwaruhusu kuingilia culture au ku dictate cultural changes kwenye nchi husika.

Nchi husika ndio ichukue hatua else meli inazama
 
Daah kwa hiyo mlialikwa kwenye sherehe yenu huko Ghana kazi ipo na umekuja kututangazia mambo yenu hapa...wahuni wapo hawana shida wapeni Location tu..
 
Nimefikia Legon Mkuu. Sikutegemea kuwakuta mapapai Ghana
 
Maisha haya mpaka uzeeni?
 
Tunakopi. na kupesti tamaduni za kizungu kwani hazikuwepo katika mila za kiafrika.Meal. Nyerere pengine alikuwa sahihi kutoruhusu vyombo vya media kama TV kuingizwa nchini kwani ndiyo njia kubwa ya indoctrination ya kamanyola hizi
 
Mungu atuepushie 🙏
 
Mkuu unataka kutuaminsha kuwa technology Ndiyo inabadilisha watu/ vijana kuwa mashoga. Really? Na unacho tetea hasa ni nini? Kuwa muazi
Ukiuchukulia ushoga kidini,kiutamaduni na mila zetu ni kitu kibaya. Ila ukiuchukulia kisayansi,historia na ki anthropology

utagundua humans are wild and wanataka ku explore vitu tofauti tofauti is how we are by nature. So kwenye jamii kuna watu watapenda tu kutiwa vitu mk**duni,kuua,kuiba,kutapeli na vitu vengine. Western country wanatetea ushoga sababu ni kitu binafsi,hakiathiri mtu na kila
Mtu ana haki ya kujiskia kufanya kitu chochote kwenye mwili wake.

Nilikua nachukia sana mashoga ila nilipata bahati ya kutembelea mynammar nikajifunza vitu vingi kuhusu buddhism na nikaelewa kuna vitu huwezi kushindana navo,ni nature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…