Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani.

Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya.

Hatua za haraka zinahitajika. Vinginevyo vijana wengi wasio na ajira watazama mazima humo kama mbadala wa kukosa ajira.

View attachment 3081454
Raisi wa nchi anaongoza mambo mengi sana. Sasa hapo huyo mrefu kama nguzo na huyo mfupi kama senga wana mvuto gani.
 
Mkuu
Hakuna geni chini ya jua.

Sodoma na Gomora was indeed worse ila sisi ndo funga kazi kuliko wale. Jinsia inabafilishwa kabisa

Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani.

Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya.

Hatua za haraka zinahitajika. Vinginevyo vijana wengi wasio na ajira watazama mazima humo kama mbadala wa kukosa ajira.

View attachment 3081454
Du!!!! noma sana!!!!
 
Back
Top Bottom