Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 456
- 1,003
Kama nakaribia kuungana na ww...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aUkiuchukulia ushoga kidini,kiutamaduni na mila zetu ni kitu kibaya. Ila ukiuchukulia kisayansi,historia na ki anthropology
utagundua humans are wild and wanataka ku explore vitu tofauti tofauti is how we are by nature. So kwenye jamii kuna watu watapenda tu kutiwa vitu mk**duni,kuua,kuiba,kutapeli na vitu vengine. Western country wanatetea ushoga sababu ni kitu binafsi,hakiathiri mtu na kila
Mtu ana haki ya kujiskia kufanya kitu chochote kwenye mwili wake.
Nilikua nachukia sana mashoga ila nilipata bahati ya kutembelea mynammar nikajifunza vitu vingi kuhusu buddhism na nikaelewa kuna vitu huwezi kushindana navo,ni nature.
Jamaa anatupanga anatuona Makolo, hiyo clip ipo mtandaoni kitambo sana tena tuliambiwa huyo mwenye black polarneck ni Msouth Africa.Nitacomment ikithibitika kuwa kweli upo hapo kwenye sherehe Ghana
Ndio ana mitako hivyo km bwanshite?Jamaa anatupanga anatuona Makolo, hiyo clip ipo mtandaoni kitambo sana tena tuliambiwa huyo mwenye black polarneck ni Msouth Africa.
Aisee. Kumbe!l'm not pro or ant gay, ila naamini hawa mashoga wanazaliwa hivyo na ipo kwenye genes na wala sio tabia, na nani amekuambia hawana ajira? hao watu watu wana pesa kuliko serikali, wamejaa kuanzia wall street mpaka Hollywood, makampuni makubwa unayoyafamu makubwa kama Apple or Open ai etc CEOs wao ni mashoga, hawana kilema Cha akili au legelege kama mnavyofikiria
Wafinyaji wana mioyo yao ya pekee.duuh, ila watu wana roho ngumu haki. sijawahi kuelewa dume kama hilo unalitamanije kwa kweli sijawahi kuelewa kabisa.
Dude linajibenua daahWafinyaji wana mioyo yao ya pekee.
Inasikitisha sana dahDude linajibenua daah
Dunia simamaInasikitisha sana dah
Sheikh Muhsin Hendricks nae anapelekewa msumari wa nyama
View: https://www.youtube.com/watch?v=IWOp664vukE