Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Dhuu sawa mkuu. Naheshimu mawazo yako, muamzi, na msimamo wako. Ila tukubali kutoku baliana. Hivyo tu.
 
duuh, ila watu wana roho ngumu haki. sijawahi kuelewa dume kama hilo unalitamanije kwa kweli sijawahi kuelewa kabisa.
Kuna jamaa yangu alikuwa anawaza hivi hivi, kuwa unalikamataje dume lenzako. Huyu huyu aliyekuwa anawaza hivyo, kuns siku nyingine alikuja kunisimulia kwamba alipita mahali kwenye klabu akaona shoga, baada ya kuliona ikasimama!
 
kwa kuwa umemtolea mfano jamaa yako, ina maana wewe toka kitambo ulikuwa waona kawaida tu au sio?
 
Taoism
 
Dhuu sawa mkuu. Naheshimu mawazo yako, muamzi, na msimamo wako. Ila tukubali kutoku baliana. Hivyo tu.
Kuna miaka kwenye ulimwenguu huu wanasayansi washawahi kuuliwa,kufungwa jela na kudharauliwa na Kanisa sababu walionekana wanapingana na biblia,leo hii Kanisa ni moja ya nguzo muhimu kwenye sayansi,imejenga mavyuo,mahospitali na waanzilishi wa unesi. Mambo yanabadilika inabidi ubadilike na leo hii Pope anawatetea mashoga sio kua anapenda vile ila anaheshimu Free Will ya binaadamu binafsi.
 
Sheikh Muhsin Hendricks nae anapelekewa msumari wa nyama
View: https://www.youtube.com/watch?v=IWOp664vukE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…