Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Kacha kacha kacha kacha ya niyokoho?
a
 
Nitacomment ikithibitika kuwa kweli upo hapo kwenye sherehe Ghana
Jamaa anatupanga anatuona Makolo, hiyo clip ipo mtandaoni kitambo sana tena tuliambiwa huyo mwenye black polarneck ni Msouth Africa.
 
Hilo lenye mitako sijaelewa unajua ugonjwa wa watu huo kuna watu wakiona mitako tu haijalishi wanapita nayo namaanisha mitako
 
l'm not pro or ant gay, ila naamini hawa mashoga wanazaliwa hivyo na ipo kwenye genes na wala sio tabia, na nani amekuambia hawana ajira? hao watu watu wana pesa kuliko serikali, wamejaa kuanzia wall street mpaka Hollywood, makampuni makubwa unayoyafamu makubwa kama Apple or Open ai etc CEOs wao ni mashoga, hawana kilema Cha akili au legelege kama mnavyofikiria
 
Aisee. Kumbe!
 
Mimi huwa sikeleki na watu wa dizaini hiyo kwani hakuna wanachonidhuru. Watu huwa mnajipa stress za bure wakati hata wangekuwa marijali msingewasaidia kuwatafutia nyapu za kupiga, acha wafurahie maisha kwa namna wanavyoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…