Ukiuchukulia ushoga kidini,kiutamaduni na mila zetu ni kitu kibaya. Ila ukiuchukulia kisayansi,historia na ki anthropology
utagundua humans are wild and wanataka ku explore vitu tofauti tofauti is how we are by nature. So kwenye jamii kuna watu watapenda tu kutiwa vitu mk**duni,kuua,kuiba,kutapeli na vitu vengine. Western country wanatetea ushoga sababu ni kitu binafsi,hakiathiri mtu na kila
Mtu ana haki ya kujiskia kufanya kitu chochote kwenye mwili wake.
Nilikua nachukia sana mashoga ila nilipata bahati ya kutembelea mynammar nikajifunza vitu vingi kuhusu buddhism na nikaelewa kuna vitu huwezi kushindana navo,ni nature.