Hospitali ya umma inalipia umeme ili iweje ?Kuna consumables kwenye dialysis
Mfano: erythropoietin peke yake ni kuanzia dollar 60 =60×2500= 150,000/= kuna dawa za kutumia, maji, umeme, dawa za kusafisha mashine, vipimo vya kabla na baada etc. Usitaje tu dialysis
Ukifuatilia sana, unaweza usipate majibu, kuna baadhi ya maofisi watu wanatoka na posho ya 15m + nje ya mshahara; halafu leo hii unategemea daktari bingwa wa upasuaji aishi kwa mshahara tu.
Tz hii kila kitu ni hovyo kuanzia viongozi wa ngazi za juu hadi wataalamu wa ngazi za chini.
Mfano unapeleka mtu hospitali kufanya operation madaktar wanakosea operation wanatengeneza tatizo jingine kubwa nnje na tatizo ulilo endea mwanzo hapohapo wanataka tena ugharamikie tatizo walilo lisababisha wao.
Tumbi na mlongazila tunawaZoom tu nyie madaktari wa hizo hospitali ni watu wa hovyo sana wanauwa watu,mnatia watu umaskini,mnawapa watu misongo ya mawazo
Haya watu Mungu awape adhabu kali huko motoniInasikitisha sana
Haya watu Mungu awape adhabu kali huko motoni
Tunqpaswa kuamka kuhoji haya.Hospitali ya umma inalipia umeme ili iweje ?
Leta jina la hospitali husika.Umeshawahi kuziona kwenye Gazette au tangazo la maoni ya wadau ?
Acha kiburi cha uzima afya zetu zipo mikononi mwa Aliye tuumbaView attachment 2519275
Soma hiyo: DIALYSIS REQUIREMENTS
Nunua hizo ulete tufanye bure kwani machine ipo.
Bima za afya tunazo na bado tunaumia! Nadhani hujui unachokiteteaKakate Bima ya Afya dogo. Hayo mengine utayasikia tu.
Wanaanza kuumbuka 7,500 manzese huduma binafsi, 24,000 Muhimbili hospitali ya walalahoi....Bei za dawa Muhimbili ni kubwa kuliko ya maduka ya madawa
Mfano
Enapril, Muhimbili 24000 Manzese 7500
Kama suala ni cost sharing sio kwa kiasi hiki halafu siku hizi kila kitu kompyuta hupewi prescription ukajinunulie mtaani,unaambiwa tuu nenda dirisha la dawa
Wanaanza kuumbuka 7,500 manzese huduma binafsi, 24,000 Muhimbili hospitali ya walalahoi....
Ahahahahah! Una ya 54,400/=?Bima za afya tunazo na bado tunaumia! Nadhani hujui unachokitetea
Kuonyesha requirements nacho ni kiburi, samahani kwa hilo.Acha kiburi cha uzima afya zetu zipo mikononi mwa Aliye tuumba
Kiburi ni hiki hapo 👆👆View attachment 2519275
Soma hiyo: DIALYSIS REQUIREMENTS
Nunua hizo ulete tufanye bure kwani machine ipo.
Ndiyo halipi umeme. Upo tu, TANESCO inajiweza itaipatia. Walipoeleza kukatia taasisi za serikali zenye madeni ulifikiri ni taasisi za Ujerumani.Hospitali ya umma inalipia umeme ili iweje ?
Kukukaribisha ufanye bure baafa ya kununua material nacho kiburi. Mbona kila kitu unadefine utakavyo wewe? Tengeneza basi sentensi isiyo na kiburi. Tusameheane tu.Ku elaborate eqpmnts siyo kiburi
Kiburi ni hiki hapo 👆👆
Kwani Kwa hesabu zako mgonjwa anatumia kiasi gani cha umeme hospitalini?Ndiyo halipi umeme. Upo tu, TANESCO inajiweza itaipatia. Walipoeleza kukatia taasisi za serikali zenye madeni ulifikiri ni taasisi za Ujerumani.
Kukukaribisha ufanye bure baafa ya kununua material nacho kiburi. Mbona kila kitu unadefine utakavyo wewe? Tengeneza basi sentensi isiyo na kiburi.