Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Posho zile za maburungutu, huwa zinakatwa kodi?Hakuna mtu halipi Kodi
Shida ni watanzania kutaka Bure
Nb: ukiona maghorofa yanapanda hewani sio mshahara, ni posho ndio zinafanya kazi. Kodi imeelekezwa kwenye mshahara ambao ni mdogo sana, ila kwenye posho ambapo kuna pesa nyingi hakuna kodi.