Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Posho zile za maburungutu, huwa zinakatwa kodi?Hakuna mtu halipi Kodi
Shida ni watanzania kutaka Bure
Posho zile za maburungutu, huwa zinakatwa kodi?
Nb: ukiona maghorofa yanapanda hewani sio mshahara, ni posho ndio zinafanya kazi. Kodi imeelekezwa kwenye mshahara ambao ni mdogo sana, ila kwenye posho ambapo kuna pesa nyingi hakuna kodi.
Tumefika pabaya gharama ni kubwa sana.Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma.
Nani anayepanga bei hizi na kwa vigezo gani?
Je, ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula?
Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu akaanzishe hospitali yake?
Kama taifa tunakoelekea yaweza kuwa siyo kwema sana.
Tumefika pabaya gharama ni kubwa sana.
VAT inalipiwaje ?Posho zile za maburungutu, huwa zinakatwa kodi?
Nb: ukiona maghorofa yanapanda hewani sio mshahara, ni posho ndio zinafanya kazi. Kodi imeelekezwa kwenye mshahara ambao ni mdogo sana, ila kwenye posho ambapo kuna pesa nyingi hakuna kodi.
Siku ya tatu Leo nimewataka mmlete gharama halisi na zisizo halisi mmeshindwaGharama hIzi siyo halali zimewekwa vile kwa malengo maalumu.
Kubwa ukilinganisha na wapi ?na umejuaje ni kubwaTumefika pabaya gharama ni kubwa sana.
Swali jepesi Sana😀😀😀 wewe utakuwa ni mmoja wapo kati ya wanufaika
Ulishawahi kujiuliza swali, kwa nini wengine wanatumia mamilioni kwa siku kwa ajili ya pombe; huku wengine wakitafuta hela ya kununua kilo moja ya maharage? ingawa wote wanalipa VAT?Swali jepesi Sana
VAT inalipiwaje , na ni njia gani ya kuikwepa
Kwanini mmeshindwa Kuweka za halali na zisizo halali ?Gharama hIzi siyo halali zimewekwa vile kwa malengo maalumu.
Jibu swali langu kwanzaUlishawahi kujiuliza swali, kwa nini wengine wanatumia mamilioni kwa siku kwa ajili ya pombe; huku wengine wakitafuta hela ya kununua kilo moja ya maharage? ingawa wote wanalipa VAT?
Ukijibu swali langu, utakuwa umepata jibu la swali lako.Jibu swali langu kwanza
VAT inalipiwaje , na ni njia gani ya kuikwepa
Anaekunywa pombe analipa Kodi kubwa Sana ya VAT kuliko anaeshindwa kununua maharageUlishawahi kujiuliza swali, kwa nini wengine wanatumia mamilioni kwa siku kwa ajili ya pombe; huku wengine wakitafuta hela ya kununua kilo moja ya maharage? ingawa wote wanalipa VAT?
Huyu anayekunywa pombe, hizo hela amezipata wapi?Anaekunywa pombe analipa Kodi kubwa Sana ya VAT kuliko anaeshindwa kununua maharage
Aliehudhuaria kikao maana yeye ndie ataamua wapi pachimbwe kokoto na wapi pasimbwe na kuhakikisha mazingira yanatunzwaUkijibu swali langu, utakuwa umepata jibu la swali lako.
Swali lingine: aliyehudhuria kikao cha nusu saa akapata posho ya milioni mbili, na mama aliyeponda kokoto mwezi mzima akapata ujira wa elfu 50; kati ya hao, ni nani alitakiwa alipwe zaidi?
Kwanza umekubali anaekunywa pombe ndie anaelipa Kodi kubwa ?Huyu anayekunywa pombe, hizo hela amezipata wapi?
Anaamua kama nani, muajiriwa au aliyejiajiri?Aliehudhuaria kikao maana yeye ndie ataamua wapi pachimbwe kokoto na wapi pasimbwe na kuhakikisha mazingira yanatunzwa
Uko sahihi, lakini amezalisha nini?Kwanza umekubali anaekunywa pombe ndie anaelipa Kodi kubwa ?
Si umesema alikaa kwenye kikao , Yani yeye ndie think tankAnaamua kama nani, muajiriwa au aliyejiajiri?