Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Hivi baba (Peter) naye alikaa hapa?
 
Wananchi tunahaki ya kujua namna kodi yetu inavyotumika.
Tuache gubu kidogo na tusiwe tunadandia mada tu, sasa budget ya Rais ilipitishwa na nani? sio wabunge ambao ndio wawikilishi au mnadhani bunge la budget kazi yake ni nini? pesa imepitishwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya Rais pale ndio kuuliza sio budget ikishapita unataka maelezo ili iweje? fuatilieni budget mjue misingi yake nini sio kusubiri hotuba ya mwisho kujuwa nini kimezidi nini kimepungua.
 
Wamesema Mabeberu Weusi Ndiyo Wametoa Pesa Zao Kuwasafirisha, Kuwalisha, Kuwalaza, Kuwalisha
Wakati Wa Yule Baba Tuliambiwa Serikali Ni Tajiri
Askofu Mmoja Aliposema Ana Pesa Kuliko Serikali Alitiwa Msukosuko Mpaka


Hii Serikali Ya Sasa Inasaidiwa Na Wafanyabiashara
 

Hizo ni hela ndogo sana kwenye matumizi ya nchi yaani hata halmashauri inaweza kugharamikia
 
Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?


Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
Faida kama watakuja , with the impending recession in the U.S hali ni tete sana!
 
Mwendazake alikuwa mshamba sana.... hakuwahi kwenda Marekani kubofya pesa yetu[emoji16][emoji16]
 
Mbona wenyewe wanasema ni hela za wafadhili sio za serikali
 
Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.

Achana na hizo presidential suit.

Na bado jamaa wakajaza floor tatu.

Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.

Huu ujinga wote alisababisha magufuli kujifanya anabana matumizi huku wandani wake wanakua mabilionea kwa muda mfupi. Yaani unatarajia wangefikia kwa mfuga mbwa za marekani, magufuli alituita sisi wanyonge huku kama kesho anasema tanzania tajiri sana, alitujengea mentality za kiuoga sana
 
Mbona gharama za kawaida Sana, kuna hotel hapa hapa bongo ni mara 5-10 ya hiyo bei!

Kuna camps za kitalii, kuna beach resorts mtanzania WA kawaida! Miaka 100 huendi!
 
Huo uwezo hatuna.

Tusingekua tunakopa ili kujenga madarasa na toilets.

Misappropriation of public funds.
Hivi hizi za hawa Covid19 zinazopigwa kwa uwepo wao bungeni kimchongo kila uchwao hesabu yake ikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…