Wewe unaandikia/ una type wapi? Kwenye Sinia/Kwanini mlielie nyuma ya key board? Jitokezeni hadharani enyi wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaandikia/ una type wapi? Kwenye Sinia/Kwanini mlielie nyuma ya key board? Jitokezeni hadharani enyi wananchi.
Hivi baba (Peter) naye alikaa hapa?Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Tulisema Magu mshamba, mama ndo huyo anaupiga mwingi hadi nje ya pitchTumekaushwa haswa kisa uzinduzi wa filamu.
Wakaishia kufanya shopping tu.
Aisee acha walambe asali.
Unabishana na catalogy ya mmiliki, chefu!!!Sio kweli mkuu, nimewahi kulala hapo kwa $450 kwa night. Kampuni ndio ililipia.
Tuache gubu kidogo na tusiwe tunadandia mada tu, sasa budget ya Rais ilipitishwa na nani? sio wabunge ambao ndio wawikilishi au mnadhani bunge la budget kazi yake ni nini? pesa imepitishwa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya Rais pale ndio kuuliza sio budget ikishapita unataka maelezo ili iweje? fuatilieni budget mjue misingi yake nini sio kusubiri hotuba ya mwisho kujuwa nini kimezidi nini kimepungua.Wananchi tunahaki ya kujua namna kodi yetu inavyotumika.
Huku ni kupungukiwa akili kukubwa sana.
By Mzilankende myango
Pengine kampuni iliyokulipia wanapewa special rates hata hivyo kwa nchi masikini hayo matumizi ni ufujaji wa kodi za wananchi!
Hangaya Hana budi kujitathmini matumizi ya safari zake kwani hao nyuki wake wanaiga tabia na ndio maana wanaruka na helicopter!!
Faida kama watakuja , with the impending recession in the U.S hali ni tete sana!Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!
Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?
Pia in Order to earn you must first inject something!
Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Mwenzako ameonyesha vielelezo hebu nawe watetee kwa pichaSio kweli mkuu, nimewahi kulala hapo kwa $450 kwa night. Kampuni ndio ililipia.
Alikuwa anapika dataSi mnasemaga tupo uchumi wa Kati? Hiyo mikopo inatoka wapi? Msijisahaulishe kuwa hii nchi ni tajiri kwa kadri ya mahubiri ya mzilankende Na akaifikikisha kwenye uchumi wa kati ghafla.
Hiyo ni bei ya chumba cha kawaida tu.
Achana na hizo presidential suit.
Na bado jamaa wakajaza floor tatu.
Kwa nchi ambayo bado tupo kwenye level za mikopo.
Pengine ulilala store,Sio kweli mkuu, nimewahi kulala hapo kwa $450 kwa night. Kampuni ndio ililipia.
Hivi hizi za hawa Covid19 zinazopigwa kwa uwepo wao bungeni kimchongo kila uchwao hesabu yake ikoje?Huo uwezo hatuna.
Tusingekua tunakopa ili kujenga madarasa na toilets.
Misappropriation of public funds.