utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
- Thread starter
-
- #21
Hivi Simba si aliweka Kambi mwezi mzima Egypt na akacheza mechi za kirafiki na kina Ismailia na zamalek?? Halafu alipokuja mechi ya kwanza tu ya mashindani akapigwa goli 2 na Yanga akabeba kombe??Kupanga ni kuchagua. Nyie sajilini kisha wekeni ksmbi avic town, kirafiki chezeni na friends rangers
Kwa akili yako ndogo unaona Simba wakiweka kambi misri wakacheza mechi za kirafiki na timu za nje ili waje kubeba ngao ya jamii.Hivi Simba si aliweka Kambi mwezi mzima Egypt na akacheza mechi za kirafiki na kina Ismailia na zamalek?? Halafu alipokuja mechi ya kwanza tu ya mashindani akapigwa goli 2 na Yanga akabeba kombe??
Watu kama nyie wenye akili mgando ndio wanasababisha Simba inazidi kuzorota siku baada ya siku. Mada kama hii Ulitakiwa kuisapoti na kuuamsha uongozi uliolala kuwekeza zaidi kwenye kusajili wachezaji bora
Kwaio tumekubaliana kuwa Kwa Sasa Simba A.C haiitaji Tena makombe ya nchi hii ya Tanzania kuanzia ngao ya jamii, ligi ya Nbc ,Azam federation cup, mapinduzi cup??Kwa akili yako ndogo unaona Simba wakiweka kambi misri wakacheza mechi za kirafiki na timu za nje ili waje kubeba ngao ya jamii.
Tumia akili hata hiyo kidogo basi ndugu yangu. Wangekuwa wametarget ligi kuu peke yake basi wangecheza na timu za hapa nyumbani tu.
Pre season camp ya Simba ililenga kuwaandaa wachezaji kimataifa na hilo limeonekana wazi baada ya timu kufuzu kuongia Makundi ya Klabu bingwa.
Huyo aliyeweka kambi Dar na akabeba ngao mwisho wa siku alifurushwa Klabu bingwa na hata huko alikoangukia bado ana mashaka kama ataweza kutoboa.
Hebu tuambie Simba imezorota kwenye lipi?Hivi Simba si aliweka Kambi mwezi mzima Egypt na akacheza mechi za kirafiki na kina Ismailia na zamalek?? Halafu alipokuja mechi ya kwanza tu ya mashindani akapigwa goli 2 na Yanga akabeba kombe??
Watu kama nyie wenye akili mgando ndio wanasababisha Simba inazidi kuzorota siku baada ya siku. Mada kama hii Ulitakiwa kuisapoti na kuuamsha uongozi uliolala kuwekeza zaidi kwenye kusajili wachezaji bora
Unaendelea kudhihirisha ni kwann Manara alisema wenye akili ni wawili tu. Sasa timu itashiriki vipi mashindano ya kimataifa kama haiwezi kubeba makombe kwenye ligi za nyumbani?Kwaio tumekubaliana kuwa Kwa Sasa Simba A.C haiitaji Tena makombe ya nchi hii ya Tanzania kuanzia ngao ya jamii, ligi ya Nbc ,Azam federation cup, mapinduzi cup??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni kilaza sana na nadhani usiwe unani quote maana kichwani uko empty sana.Unaendelea kudhihirisha ni kwann Manara alisema wenye akili ni wawili tu. Sasa timu itashiriki vipi mashindano ya kimataifa kama haiwezi kubeba makombe kwenye ligi za nyumbani?
Karia alisema mna kinyesi na kweli umeprove hilo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ni kilaza sana na nadhani usiwe unani quote maana kichwani uko empty sana.
Hujui unasimamia nini na Kila mara Unajicontradict mwenyewe, Umesema Simba haikuweka Kambi misri ili ije ishindane na Yanga makombe ya ndani ikiwemo iyo ngao ya jamii, ililenga kimataifa zaidi, saiv tena unasema ili ishiriki kimataifa inaitaji makombe ya ndani...
Nimefunga mjadala na wewe, na ukini quote Tena ntaamini maneno ya ndugu Aden Rage kuwa wanasimba wote ni mbumbumbu ukiwemo na ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kocha afanye nini?Mpira wa Sasa hivi makocha ndio Kila kitu wewe pambana na timu yako
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?
Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
free agent huyo. Pia hamna timu yoyote duniani inayojivunia kusajili mchezaji miaka 38Kwani saidoo hujamuona?
Sisi walalahoi tuko vizuri sana linakuja suala la kupangia bajeti pesa za wengine.Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?
Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
madunduka fc wameona manara anafaidi ndo wamemjibuHivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?
Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Kambi yenyewe ya siku ngapi iyo wazee, unaondoka trh 7 na unatakiwa trh 16 uwe Tanzania kwa mechi ya trh 17, Kwa maana iyo ni kambi ya siku 8 ukitoa siku za safari, Inawezekana wameenda picnic tu but sio kambi ya kusema ipo kiufundiUmaskini wenu usitupe shida . Endeleeni na kambi yenu huko kimbiji , ya simba mwachie simba mwenyewe.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hawa hawahaenda kuweka kambi Bali wamebeba biashara km kina kocha wa makipaHivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?
Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku ukiwa na wachezaji wabovu ni ukosefu wa akili. Viongozi wa Simba ni mbumbumbu sana!
Hiyo biashara anaifanya GSM sasa wewe endelea kulopokwa afurushwe kama Manji mrudi kutembeza bakuli.Hawa hawahaenda kuweka kambi Bali wamebeba biashara km kina kocha wa makipa
Itakuwa sio picnic. Kuna mzigo wa aliekuwa kocha wao wa magolikipa wanahisi unaweza ku expire wameona bora wauwahishe.Kambi yenyewe ya siku ngapi iyo wazee, unaondoka trh 7 na unatakiwa trh 16 uwe Tanzania kwa mechi ya trh 17, Kwa maana iyo ni kambi ya siku 8 ukitoa siku za safari, Inawezekana wameenda picnic tu but sio kambi ya kusema ipo kiufundi