Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

Wewe kwa comment hii ndiyo wajiona una uwezo mkubwa sana kiasi kwamba waweza kuhoji uwezo wa akili wa Viongozi wa Simba?
 
Wewe kwa comment hii ndiyo wajiona una uwezo mkubwa sana kiasi kwamba waweza kuhoji uwezo wa akili wa Viongozi wa Simba?
Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ndio kwamba una akir ama maarifa kuwazid wengine ,na ndio maana kuna viongozi na bado wana washauri ,wasaidizi na vinginevyo ,mbal mbali sina maana mm nina nina maarifa au akil kuliko wao ,, lakin kwa iz iz akil zangu najua ili baya ama zuri au apa ni sahihi au vinginevyo ,mfano suhala la kambi wakat unajua shida ipo wapi kujiongezea mizigo tu ,wafanye usajili wa maana alafu wakae pale pale bunju na matokeo yataonekana
 
Ukiambiwa thibitisha utaweza??? Acheni umbea watoto was kiume tafuta fedha.


Kwahiyo mamlaka za Dubai ni dhaifu sana kwenye ufuatiliaji madawa ya kulevya??

Swali langu umewahi safiri hats kwenda Malawi tu????
Wewe mtoto Mdogo huna unalolijiwa, Nina Canadian viza ya miaka 10 mult, Shenghen countries naenda kama sokoni tu.

Simba hawajaanza hiyo michezo leo, marehemu Juma Salum na Kassimu Dewji uongozi wao walikuwa watu wa Mipango.

Na Ninakuthibitisha Marco Masanja alikuwa Katibu msaidizi wa Kassimu Dewji amekamatwa na unga China mainland na possibly itakuwa amenyongwa.

Sasa waulize Watoto Ilala baada ya Juma Salum kupata ajali ya gari akitokea bungeni Dodoma ni nini kilichompa utajiri wa ghafla mtoto wake Abuu?

Jinga wewe, siku nyingine usirudie kumkisia mtu usiyemjuwa, jumatano nakwenda Stockholm kusalimia familia.
 
Akili za kimasikini hizo
 
Hela zako? Umewahai kutoa hata shillings 100?
 
Akili za kimasikini hizo
Wewe popoma huoni timu yetu ya Simba imejaza wachezaji wengi wabovu? Kina Kibu D, kyombo, Mzamiru, okwa, kapama, Gadiel, Ouwatara, akpan, Nyoni Hawa ni wa kufukuza
 
Usajili ni process sio kama unavyofikiri wewe tu... Sio unasajili tu kukusanya michezaji bila mipango, afu isitoshe hili ni dirisha dogo yaani wachezaji wote waliopo Simba wanamikataba na timu tena wengine mirefu sasa uwavunjie unaowaona wabovu kwa mkupuo ni ngumu sana, na hao wanaohitajika pia wanamikataba na timu zao tena huenda mirefu tu, sasa kufanya biashara kama hii katikati mwa msimu ni Risk kubwa sana. Otherwise ni kufanya marekebisho madogo madogo ya kumalizia msimu ko si ajabu kuona Simba inasaji wachezaji wakiwa free agent na maisha mengine lazima yaendelee...
 
Mishahara inatusumbua, hao wachezaji bora pesa ya kuwalipa mishahara tutao wapi?

Safari ya Dubai ni ufadhili kutoka kwa tajiri mmoja labda tumwombe .......
 
Kama inauma chomoa usije ukapasua pur....u

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Simba walipata kombe msimu uliopita? Mbona wapi ligi ya mabingwa hatua ya makundi halafu waliopata kombe wapi shirikisho kombe la maluza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…