utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
- Thread starter
-
- #81
Ulikuwa rumande? Mbona umevamia Uzi Kwa fujo sana mkuuKwani Simba walipata kombe msimu uliopita? Mbona wapi ligi ya mabingwa hatua ya makundi halafu waliopata kombe wapi shirikisho kombe la maluza
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kawafungulie mashtaka kama una ushahidiHawa hawahaenda kuweka kambi Bali wamebeba biashara km kina kocha wa makipa
Kama ilivyokua Kwa manji[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mengi nyuma ya kambi imekua ghafla sana ntaprove endapo wakisajili mchezaji wa pesa ndefu ntasema safari imezaa matunda tukumbuke kulikua na mapambano ya Ngumi kwa mabondia toka Mekiko na Argentina.
Siku zote wafanyabiashara wakubwa haramu wanawekeza kwenye vitu vinavyopendwa ili likitokea na kutokea wategemea huruma za watu/mashabiki.
Kwa hisani ya Dubai
Lini wamewahi kupeleka unga au mnafikiri ni no ni manjiHawa jamaa watakuwa wanapeleka unga huko nje kama kawaida yao
Dirisha la usajili limeshafungwa? Hivi mudhahir yahaya kanunuliwa sh ngapi vileKwaio kumbe uongozi wetu kupitia bwana tray again ulivotuambia utafanya usajili wa nguvu Jan ilikuwa ni danganya toto?
Hujui chochote wewe jinyamazie tuKuwa kiongozi haimaanishi kwamba ndio kwamba una akir ama maarifa kuwazid wengine ,na ndio maana kuna viongozi na bado wana washauri ,wasaidizi na vinginevyo ,mbal mbali sina maana mm nina nina maarifa au akil kuliko wao ,, lakin kwa iz iz akil zangu najua ili baya ama zuri au apa ni sahihi au vinginevyo ,mfano suhala la kambi wakat unajua shida ipo wapi kujiongezea mizigo tu ,wafanye usajili wa maana alafu wakae pale pale bunju na matokeo yataonekana
Naona unaungaunga porojo zako zisizokua na uthibitisho wote, muuza unga aliyethibitika kuuza unga ni Yusuf Manji sasa niambie alikua kiongozi wa timu ipiWewe mtoto Mdogo huna unalolijiwa, Nina Canadian viza ya miaka 10 mult, Shenghen countries naenda kama sokoni tu.
Simba hawajaanza hiyo michezo leo, marehemu Juma Salum na Kassimu Dewji uongozi wao walikuwa watu wa Mipango.
Na Ninakuthibitisha Marco Masanja alikuwa Katibu msaidizi wa Kassimu Dewji amekamatwa na unga China mainland na possibly itakuwa amenyongwa.
Sasa waulize Watoto Ilala baada ya Juma Salum kupata ajali ya gari akitokea bungeni Dodoma ni nini kilichompa utajiri wa ghafla mtoto wake Abuu?
Jinga wewe, siku nyingine usirudie kumkisia mtu usiyemjuwa, jumatano nakwenda Stockholm kusalimia familia.
Jibu swali unasema Kambi ya misri haikua na mafanikio Kwa vigezo vipi?Ulikuwa rumande? Mbona umevamia Uzi Kwa fujo sana mkuu
Humu sio sehemu ya kutuliza maswali mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jibu swali unasema Kambi ya misri haikua na mafanikio Kwa vigezo vipi?
Mbona timu imefuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa Kwa 100%?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeona eee kaka JosephPamoja na kumtukana brother Kibu humu JF ,il ndio hivyo kishakwea pipa Dubai anakula upepo.
Kwanza hebu rekebisha comment yako,makosa kibao ya kiuandishi comment nzima halafu sasa uje uanze kuwakosoa Viongozi wa Simba.Kuwa kiongozi haimaanishi kwamba ndio kwamba una akir ama maarifa kuwazid wengine ,na ndio maana kuna viongozi na bado wana washauri ,wasaidizi na vinginevyo ,mbal mbali sina maana mm nina nina maarifa au akil kuliko wao ,, lakin kwa iz iz akil zangu najua ili baya ama zuri au apa ni sahihi au vinginevyo ,mfano suhala la kambi wakat unajua shida ipo wapi kujiongezea mizigo tu ,wafanye usajili wa maana alafu wakae pale pale bunju na matokeo yataonekana
Simba ndio timu yenye vituko vingi mtani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila utopolo og mtani kila siku unaandika nyuzi za Simba huko Yanga hamna cha kuongelea?
Hahh sema hivii Simba ni kuubwa hukosi kitu cha kuiongeleaSimba ndio timu yenye vituko vingi mtani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mtani. Kuna nyuzi kama nne za moto sana zinawahusu kaa Kwa kutulia Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahh sema hivii Simba ni kuubwa hukosi kitu cha kuiongelea
Sijui huwa hawalioni hilii au akili zao mbili haziwezi kuchambua na kuona...kutwa kuchwa Simba Simba yani wanajikuta wana kikosi cha kumfunga TP mazembe..badala wajiandae kwao hko wanafatilia ya SimbaHebu tuambie Simba imezorota kwenye lipi?
1. Inashiriki hatua ya makundi klabu bingwa
2. Iko nafasi ya pili kwenye ligi na ina uwezekano wa kubeba kombe.
3. Ndio timu iliyofunga magoli mengi kuliko timu yoyote Tanzania
4. Ndio timu yenye uwiano mzuri wa wafungaji wa magoli kwa wachezaji tofauti na siyo mchezaji mmoja ana magoli 14 anayefuatia ana magoli 6.
5. Imepanda toka nafasi ya 12 hadi ya 10 kwa timu bora Africa.
6. Ndio timu yenye udhamini mkubwa kuliko timu zote Tanzania.
Hebu tuambie imezorota kivipi ukianzia na suala la basi.
Yapi hayo yameanza kuonekana?Niliwaambia watu hizi pesa za kuweka Kambi tungezipeleka kwenye usajili matokeo yake ndio haya yanaanza kuonekana