Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.