Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

1) Warudi kwenye meza ya majadiliano kutatua maswala mama ya tatizo
2) Kumalizwa kwa occupation (huu ni mwaka 2023/ kumtawala mtu ni siasa za kizamani)
3) Azimio la serikali mbili (UN resolution) ya Wa- Israel na Wapalestina ndio suluhisho la kudumula mgogoro.
Uhakika wa kuaminika kwa Hamas dhidi ya usalama wa Israel upoje
 
Uhakika wa kuaminika kwa Hamas dhidi ya usalama wa Israel upoje
"The two-state solution to the Israeli–Palestinian conflict envisions an independent State of Palestine alongside the State of Israel, west of the Jordan River. The boundary between the two states is still subject to dispute and negotiation, but it is mainly based on the 1967 lines
- HAMAS formed in late 1987 at the beginning of the first Palestinian intifada (uprising). - 2017 Hamas accepted the idea of a Palestinian state within the 1967 borders.

A 2013 Gallup poll found 70% of Palestinians in the West Bank and 48% of Palestinians in Gaza Strip, together with 52% of Israelis supporting "an independent Palestinian state together with the state of Israel" - Chanzo -https://en.wikipedia.org

Kimsingi Hamas imeundwa baadae sana, baada ya mipango ya mpango wa kuundwa kwa mataifa mawili -Israel na Palestina kugonga ukuta. Hii ni kutokana na frustration za wapalestina walioamua kutafuta alternative solutions ambayo inamadhara zaidi.

Kutokana na statistic hapo juu (zinabadilika mara kwa mara kadri mpango wa kuundwa kwa mataifa mawili unapofeli) zinaonyesha kabisa kuwa kama suala la mataifa mawili yakipita, jamii hizo mbili zinaweza kuishi na kuvumiliana. Ila mtawala kama ilivyokuwa utawala wa makaburu South Afrika siku zote wanapenda kuuhakikisha ulimwengu kuwa hawa hawawezi kujitawala, hivyo ni lazima watawaliwe.

Ninaimani kuwa mataifa haya mawili yanaweza kuishi kwa amani pamoja.
 
Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.

Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.
Hata mimi nimeahirisha safari ya Januari
 
Back
Top Bottom