Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ukweli ni kwamba vita ni gharama sana. Na ni muhimu kwa mtu yeyote yule au vikundi vijifunze kutoka kwa wenzetu. Tusishabikie vita kwa jirani wala kwetu.Vita ni gharama sana, hapo bado gharama ya uhai!
Tuwaombee watatue matatizo yao mezani.Tufanyeje sisi?! Tuwachangie?
Binadamu ndiyo hayawani mwenyewe, hao wanyama pori wanasubiri sana.Ulimwengu wa leo una mazuzu/mazezeta wengi licha ya vyuo vikuu kuongezeka.Wanadamu wanawekeza kwenye kuwindana wao kwa wao.Ule uhayawani wa kule porini unaofanywa na wanyama umehamia kwa wanadamu.
Pesa ni makaratasi hutumika kukulinda pindi unapopata tishio juu ya uhai wako. Asiyeamini achunguze endapo afya yako ikitetereka unatumia kiasi gani kuiweka sawa. Wengine wanauza hata amana ulizonazo.Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku ( sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo.
Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.
Kwa bahati mbaya tatizo ni wasomi. Na haya maelezo chini ndio chimbuko la tatizo.Ulimwengu wa leo una mazuzu/mazezeta wengi licha ya vyuo vikuu kuongezeka.Wanadamu wanawekeza kwenye kuwindana wao kwa wao.Ule uhayawani wa kule porini unaofanywa na wanyama umehamia kwa wanadamu.
Lakini hata wenyewe wanalia, kuwa imezidi vile walivyokadiria.Mbona pesa kidogo sana
"Wanahubiri amani Huku wameficha mapanga."Ukweli ni kwamba vita ni gharama sana. Na ni muhimu kwa mtu yeyote yule au vikundi vijifunze kutoka kwa wenzetu. Tusishabikie vita kwa jirani wala kwetu.
Na ndio maana ni muhimu kuhubiri amani kwetu na kwa majirani zetu na hata kule mbali tusikofika.
Nani amelia?Lakini hata wenyewe wanalia, kuwa imezidi vile walivyokadiria.
Hao mashoga walidhani vita ni sherehe ya kipaimara sio? Kwanza washenzi ni scammers hao bila misaada ya Marekani na Uingereza hawatoboi.Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku ( sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo.
Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.
Na ndio walipiga mikwara kuwa wana uwezo wa kupigana na Hizbullah at the same time pale Lebanon au sio?Hao mashoga walidhani vita ni sherehe ya kipaimara sio ?
Kwanza washenzi ni scammers hao ,bila misaada ya Marekani na Uingereza hawatoboi
Unawashauri nini?Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku ( sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo.
Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.
1) Warudi kwenye meza ya majadiliano kutatua maswala mama ya tatizoUnawashauri nini?