Uhakika wa kuaminika kwa Hamas dhidi ya usalama wa Israel upoje1) Warudi kwenye meza ya majadiliano kutatua maswala mama ya tatizo
2) Kumalizwa kwa occupation (huu ni mwaka 2023/ kumtawala mtu ni siasa za kizamani)
3) Azimio la serikali mbili (UN resolution) ya Wa- Israel na Wapalestina ndio suluhisho la kudumula mgogoro.
"The two-state solution to the Israeli–Palestinian conflict envisions an independent State of Palestine alongside the State of Israel, west of the Jordan River. The boundary between the two states is still subject to dispute and negotiation, but it is mainly based on the 1967 linesUhakika wa kuaminika kwa Hamas dhidi ya usalama wa Israel upoje
Hayo nayo ni mawazo mbadala. Ila inategemea na uchaguzi wa wahusika wenyewe.Hakuna cha two states solution Pelestina wapate kichapo cha mbwa kwanza
Hata mimi nimeahirisha safari ya JanuariVita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali.
Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na kupungua kwa watalii.