GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
umeongea fact. hvi mwanaume anayeendesha vitz, carina,verossa au altezza anaanzaje kumtongoza mwanamke anayeendesha hummer? anaanzaje? wakati hizo gari nyingine kama ukitoa viti kwnye hummer unaweza kuziingiza ukafunga na mlango? mnunulie tu shem. mimi nlikuwa na mpango huo nikizikamata siku moja namnunulia lile dude tena manual. halafu jamaa hawa wa auto na vi baby walker vyao wawe wanampigia misele. tuone...
Hahah aisee wala sio uongo.Wajomba wenye hummer hapa mjini wanatisha.Kibongo bongo bado hatujafikia level za kusema eti ile gari sijui mbaya,eti inachafua mazingira mara inakunywa mafuta sana.Ni umasikini tu unasumbua watu la sivyo wengi tu wangependa walimiliki.
Lile gari akiwa anaendesha mwanamke hata confidence ya wanaume kumshobokea shobokea hua inaisha.Ni hela tu inazingua,ningemnunulia mke wangu hilo dude najua hakuna wa kumsogelea tangu anaondoka asubuhi mpk anarudi jioni home.
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.