Gharama za gari aina ya Hummer

Gharama za gari aina ya Hummer

umeongea fact. hvi mwanaume anayeendesha vitz, carina,verossa au altezza anaanzaje kumtongoza mwanamke anayeendesha hummer? anaanzaje? wakati hizo gari nyingine kama ukitoa viti kwnye hummer unaweza kuziingiza ukafunga na mlango? mnunulie tu shem. mimi nlikuwa na mpango huo nikizikamata siku moja namnunulia lile dude tena manual. halafu jamaa hawa wa auto na vi baby walker vyao wawe wanampigia misele. tuone...

Hahah aisee wala sio uongo.Wajomba wenye hummer hapa mjini wanatisha.Kibongo bongo bado hatujafikia level za kusema eti ile gari sijui mbaya,eti inachafua mazingira mara inakunywa mafuta sana.Ni umasikini tu unasumbua watu la sivyo wengi tu wangependa walimiliki.

Lile gari akiwa anaendesha mwanamke hata confidence ya wanaume kumshobokea shobokea hua inaisha.Ni hela tu inazingua,ningemnunulia mke wangu hilo dude najua hakuna wa kumsogelea tangu anaondoka asubuhi mpk anarudi jioni home.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Sawa mtoto mzuri nenda kanyonyeshwe koni kwenye vitz basi ufurahi.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Wanasaikolojia wanasema watu wanaopenda kufanya vitu fulani huwa wana vi project kwa wengine.

Get off my dilsnick.

Sent from my Kimulimuli
 
Wanasaikolojia wanasema watu wanaopenda kufanya vitu fulani huwa wana vi project kwa wengine.

Get off my dilsnick.

Sent from my Kimulimuli
English nyiiiingi hovyo hovyo tu.Nenda kalambishwe koni acha tujadili mambo tunayotaka hapa.

I don't do faggots.

Sent from my Kimulimuli
 
Kuna jamaa analo Hapo Arusha,hua akijaa nalo bar hakuna mtu anakumbuka eti lina sura mbaya sijui nini kila mtu analikubali mbaya kabisaa.

Akilipark next to vitz na vigari vingine vya wajapan,hao wamiliki wa hivyo vigari hua wanaona noma kwenda kuvitoa parking muda wa kusepa wanahisi kama wanachoreka hatari.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Yes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.
 
umeongea fact. hvi mwanaume anayeendesha vitz, carina,verossa au altezza anaanzaje kumtongoza mwanamke anayeendesha hummer? anaanzaje? wakati hizo gari nyingine kama ukitoa viti kwnye hummer unaweza kuziingiza ukafunga na mlango? mnunulie tu shem. mimi nlikuwa na mpango huo nikizikamata siku moja namnunulia lile dude tena manual. halafu jamaa hawa wa auto na vi baby walker vyao wawe wanampigia misele. tuone...
Hahah asee hapo kwenye kutoa viti naenda hizo baby walkers kuweza kuingia umeua mkuu hahah.

Ukifanikisha huo mpango amini mkeo/shemeji hata mtu wa kumuangalia mara 2 2 road hayupo,hapo ni full ma confidence mama ataenda salama na kurudi salama.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Yes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.
Ahahah aisee ukimaanisha sisi wazee wa kijapani ni wa magari ya kufanana tunatofautishwa na plate numbers tu,hahah.Ni mwendo wa IST bar nzima

Mwenye hela ya hummer anunue tu,bado nafasi yake kibongo bongo,Ki Africa Mashariki,ki Africa iko tu palepale

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
HA HA HA.... hili ni kweli kabisa. mbona mimi nlishawah kujaribu fungua mlango VANGUARD kumbe ya mtu mwingine ilipopiga alarm ndo nikashtuka kuangalia namba kumbe siyo... nilikasirika sana.

hizi gari za japani unampa funguo,unamwelekeza sehemu mahsus uliyopark, unamwambia rangi ya gari, sticker kama zipo, unamwandikia na namba ya gari maana akisahau moja tu ataenda kutaka kufungua nyingine. halafu unamwambia pale kwenye kioo cha ndani umening'iniza nini na kama kwenye bumper imechubuka.... wakati ungesema tu nenda kachukue hummer ipo parking.basi angeenda kwa mbali tu angeiona.

Yes, mtu una gari umepark bar, rafiki yako anakuja kukuomba gari afike sehemu unampa ufunguo halafu unamwambia namba ya gari na rangi yake ili asipate taabu kulitafuta, hayo ndio magari ya Japan. akisahau namba anarudi kukuliza tena. Gari la mkoloni unampa ufunguo na kumwambia kachukue hummer, utaikuta pekee yake.
 
Nakushauri usitafute ugonjwa wa moyo! Kule posta lipo moja jamaa kashusha bei mpaka 45M lakini linakimbiwa....
Posta masaki kwenda ma kurudi liter 20 linamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni hummer ngapi mkuu?

Maana hummer 3 zina cylinder 5,cc 3500.

Consumption iko kawaida na watu wanapigia misele kama gari ya kila siku.

Labda kama gari ya huyo jamaa ni hummer models za nyuma.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Hawa wengine wana matatizo ya ulimbukeni tu.

Wengine bado wanavaa Fubu.

Kwa hiyo wakishobokea Hummer hata usishangae sana.

Sent from my Kimulimuli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???

Maana asilimia 99%ni magari ya kizamani yapo road.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???

Maana asilimia 99%ni magari ya kizamani yapo road.
Ni wachache, lakini ndio maisha, wote hatuwezi kuwa sawa. wenye generic cars msijisikie/tusijisikie vibaya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni watz wangapi wenye uwezo wa kununua gari za kisasa???

Maana asilimia 99%ni magari ya kizamani yapo road.
Tatizo si gari la kisasa au si la kisasa.

Kuna Jeeps za 1992 mpaka leo ukiziangalia unaona hii gari.

Tatizo unaenda kununua steam engine locomotive halafu unatamba nalo kwamba ni bonge la gari.
 
Hizi gari zilikuwa zamani ukiskia Hammer unatoka nje kuitazama.... Hammar inakula mafuta, kama huna shell nyumban kwako ongeza ununue Prado Cruser
Untitled-184.jpg
2006_hummer_h3_4dr-suv_base_d_oem_1_500.jpg
maxresdefault.jpg
hummer-limo-rental-new-1.jpg
hummer-white-h2.jpg
Hummer-H2-21.jpg
hummer-h2-stretch-limo-colony-limo-02.jpg
kwan interest yko ni kujua bei ya hlo gar au kulinunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimefuatilia Uzi tangu page 1 mpaka hapa. Nimegundua mambo mengi. Watu wanaongea kwa showoff za kijinga.
Mf GuDume hana gari hata vitz na nna hofu hata baiskeli hajawahi nunua.

Kama unabisha nenda kwenye profile yake then fuatilia mada na michango yake. Ni hopeless mzuri but kwa sababu tunatumia fake ID ana fake mpaka life
 
Back
Top Bottom