Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

Assume wewe kiongozi wa dini na ukagundua baadhi ya waumini wako wanaishi bila ya kufunga ndoa, je kama wewe kiongozi wa dini utafanya nini?
Kwanza ondoa neno baadhi ni wote sema maana imekuwa fashion. Ukiona hivyo ujuwe kama kiongozi wa dini kazi imekushinda maana unalofundisha wanafunzi wame fail
 
Hawa ndio wake sasa, Aristote nampa heko baada ya kukamlisha utaratibu wa probation kama ilivyoada.

Hio ndoa lazma idumu maana ameoa mke haswa sio hawa wapuuzi ma slay queens! Mwanamke anaeweza kumvumilia aristote toka kapuku hadi kuwa Chawa President mwenye biashara kubwa mjini ni jambo la kushukuru.
 
Kwanza ondoa neno baadhi ni wote sema maana imekuwa fashion. Ukiona hivyo ujuwe kama kiongozi wa dini kazi imekushinda maana unalofundisha wanafunzi wame fail
Hujani jibu swali langu nime kuuliza assume ww ni kiongozi umepewa jamii ya watu wenye imani fulani uwaongoze, ktk jamii hiyo baadhi yao wanaishi bila ya ndoa, je wewe kama kiongozi wa utafanya nini?

NB
Nimetumia neno baadhi sababu kwenye jamii hamuwezi kufanana.
 
Nitafanya kama Kenya tu vimada hakuna kurithi basi watashika adabu
 
Gharama zote hizo ni kwa ajili ya kubariki ndoa tu ama? Huyo mwanamke si walishaishi wote pamoja hao
Achana na hiyo mambo ya kuwa walishaishi tatizo je gharama zilizoorodheshwa hapo Aristote amezinyea wap au ndio saloon tuu
 
Hahahahahahah ni aibu kumuoa hawara wako wa miaka 13 kwa mbwembwe za namna hio 😅
 
Yani 13 yrs aristote alikosa laki 8 ya mahari na laki ya kumlipa padri kanisani awafungishe ndoa?
 
Siku hizi hiyo ni fursa ya kukusanya pesa.
 
Kijana mwenyewe ni yule aliepewa cheo cha mweka hazina wa chama ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…