Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Uchakavu hapo sijaelewa fafanua kdg
 
Kama unafanya starehe halafu unakuja kulalamika ujue hauishi kulingana na kipato chako.

Punguza matumizi endelea kutafuta hela

Hizo K hazina maajabu wewe unamlipa 50k kuna mwana ameshamchoka

Unamkodishia bolt kuna mwana simu moja tu huyo malaya anaenda mwenyewe hata nauli haulizii anapigwa miti anasonga ugali wanakula anarudi kwao

Acha ulimbukeni bwana mdogo

A horny man can lose everything in a day

Success requires sexual discipline

As a man control your sexual urges before you lose yourself

Mwehu wewe
 
Kwanini umpe 10000 kafanya kazi gani kubwa wakati hapo amepata raha kama zifuatazo( 1.)ulimbeba kwa gari tufanye alitumia mafuta ya 2000 (2.)ulimpakata tufanye gharama ya kumpakata mtu mzima kama huyo ni 2500 (3.)ulimpa virutubisho adimu mno ambavyo faida yake mwili wake utakuwa mwororo mno na sauti yake itakuwa laini mno tufanye kirutubisho hicho ni 10000 kwasababu havipatikani madukani kwahiyo ni adimu........kiufupi huyo ilitakiwa akupe wewe hela
 
Hapo kwenye pesa ya uchakavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
With this piece of madness being shared around here, I wonder where are we heading as a country ?
 
ASOMAE NA AFAHAMU 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…