Gharama za kujiburudisha kimapenzi zapaa

Nakazia,bora usitoe..mtu anatoa then analalama huo ni wehu!
 
Kumbe ndomaana tunaofuga mifugo, kwenye kupandisha, mwenye mnyama dume ndo analipwa
 
Na anakwambia sijaridhika na bado hela anataka!
 
Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh)
kwa chakula gani na vinywaji iwe 40k mana kama kuku kienyeji makange mzima na ndizi nne ni elf 40. au foil kila mmoja na wali au chips hapo ni zaid ya 35 basi kitimoto choma kilo mbili ndizi nne tayari 40 na ushee hapa chakula na vinywaji kwa kujibana sana weka 70 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…