KERO Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kama ni hivyo basi wanaotoa rufaa kuna uwezekano mkubwa kuwa ni wala rushwa.
 
yaani nilipe hospitali ya umma laki saba mke wangu kujifungua, kwa kipi? hata private hawapo hivyo.
 
Mhh Mean while me nili jipanga kwa zaid ya 500k wakat wife ana karibia kujifungua .nikawa surprised naambiwa nilipie 30k ya kitanda tu mengine bure ,kwakua alijifungua kawaida ..

NOTE
ilikua kituo cha afya nazani ndo bure aki jifungua kawaida na 150k operation. Uko Hospitall za Rufaa ni kukandwa tu
 
Umepigwa parefu sana hapo kujifungua hospital za serikali ni bure kabisa ,sio za serikali tu hata zenye ubia na serikali.Utalipia kitanda,au kama kuna upasuaji mkubwa au mdogo,pia kama kuna chakula
 
Ngojea waje matajiri wa Jf kukupinga wakati wewe ndio uliyeenda huko,watakuambia unaongopa,mara hakuna cha buree
 
Kuandika hujui, mbwembwe kibao
 
Dogo,
Wacha propaganda basi.
Unaambiwa mle ndani ya hospital kuna wamama walishajifungua kitambo lakini hawawezi kutoka kurudi makwao, wameshikiliwa hadi walipe Tsh 5m, 7m+, ambazo hawana. Una hakika wanamiliki hizo simu unazosema?!
 
Dogo,
Wacha propaganda basi.
Unaambiwa mle ndani ya hospital kuna wamama walishajifungua tayari lakini hawawezi kutoka kurudi makwao, wameshikiliwa hadi walipe Tsh 5m, 7m+, ambazo hawana. Una hakika wanamiliki hizo simu unazosema?!
Gentleman,
mimi siwezi kubabaika wala kujivunga kusema ukweli kwenye mambo serious kama haya.

Suala hapa muhimu zaidi gentleman, make sure kipaumbele chako na familia yako ni BIMA ya Afya. Afya ndiyo uhai gentleman.

Sasa,
endekeza uvivu katika kazi, pendelea anasa kama ndio kipaumbele chako.

Utatia huruma mno, utateseka sana na hakuna ndugu jamaa au rafiki yako atababaika na wewe, hali ya kua na wao wana mahangaiko yao.

Fanya kazi kwa bidii, kuwa na uhakika wa kipato. Kata bima ya afya uwe na uhakika wa matibabu 🐒
 
Bima haikavi sehemu zote wife alijifungua, baadhi ya dawa Bima haikulipa nikalipa cash mtoto alipata dawa zote nkalipa cash,within 3dyz miatatu na zaidi nkatoa.
 
Jina lenyew ushasema hospitali ya taifa
si tunaendaga tu vituo vya afya ni bure tuu kama akijifungua kawaida kama utatozwa hela haizidi afu 50 tena kuwe kumetokea shida wakati wa kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…