Gharama za kumuuguza Mzee zinaongezeka. Sisi tumeshachoka kwa kweli. Bora tu achukuliwe

Kuwa tu humble na upokee nasaha ulizopewa na Akhi kule. Hata kama ni kweli umetoka katika familia ya Masheikh, unaweza kuwa mjinga vile vile. Unaweza kuwa ulisoma sana mpaka huko Lamu alipotoka Sheikh al-Habib Swaleh bin 'Alawy Jamalul-Layl lakini ukarudi mjinga au ukawa hukupata baraka ya Ilmu uliyoipata au ikawa sehemu kubwa mno ya Ilmu hukuipata pia. Unaweza kweli ukawa umesoma (tena kwa usahihi kabisa) lakini ukapinda hivyo kusoma kwako ikawa hakujakusaidia chochote, na watu wakaipuuza Ilmu yako. Unamjua Wasil ibn 'Ataa? Alikuwa Mwanafunzi wa Imaam Hassan al-Basry (Rahimahullah). Wasil aliachana na Imaam Hassan al-Basry akaenda kwa wanafalsafa huko wakamvuruga mwisho akajitenga na Imaam al-Basry, na ndio akaanzisha Madh-hab ya Mu'utazilah. Alijitenga na Imaam al-Basry licha ya kuwa Imaam Hassan al-Basry alikuwa ni katika Taabi'i wakubwa sana. Kinachoangaliwa ni umesimama sawa? Sasa unafanya au unasema jambo ambalo halipo katika dini, kisha ukiambiwa kwa kurekebishwa, unajitetea kwa kusema wewe ni mjukuu wa Mufti na umesoma mpaka Mombasa na Lamu. Haqq haipimwi kwa hivyo Chizi Maarifa.

Mtabiri wa Nyota Mzee Yahya Hassan Juma kwenda kwa Baba yako kuzungumza "habari za dini ya kiislamu" sio hoja pia.

Hata mimi pia akina Mtabiri Mzee Yahya Hassan ni katika wazee wangu, na baadhi ya Wazee wangu walikuwa ni Masheikh Maarufu tu wa Kisufi (Allah awasamehe makosa yao na Awarehemu). Ila bado kuna wengi katika familia zetu hawafahamu dini. Mimi mwenyewe ni miongoni mwa wasiojua dini hasa ndio naanza kusoma. Mwanzo nami nilijiona najua dini ila nimekuja kugundua sijui kitu, ndio kwanza naanza.

Be humble. Allah atuongoze sisi na wewe pia katika njia iliyonyooka.

Yangu ni hayo tu.
 
Well narated
 
Umegonga fasihi ya maana na bado hawajakuelewa.
 
skia tafuta chemical inaitwa Potassium cyanide hiyo inapatikana kwenye maduka makubwa ya lab equipment kanunue alaf uwe unamuwekea 1mls kwwnye kinywaji chake soon utakua unesolve tatizo alaf utanikumbuka
 
Poleni...

Tabu yote ni vile maisha ya kibongo yamekaba kila kona, mzee kama huyo ilipaswa awe kwenye nyumba za wazee kwa sasa akihudumiwa na serikali...
 
au ukishindwa kupata Potassium cyanide we nunua mto wa 2000 unakua mgumu ule ukimuwekea usoni usiku ukikandamiza for 10mnts bas roho yake itaacha mwili na mtabaki na hela zenu ili msije mkawa maskini
 

Kama majinbu yenyewe ndio haya, wewe wakikuacha na mgonjwa unaweza kumnyonga kwa kuogopa simu ya mchango wa laki 7, inabidi wawe makini na wewe.... ni hayo tu Chizi Maarifa.
 
Tatizo ni wanafamilia kuwa masikini
Kweli kabisa 💯 ingekuwa familia Ina pesa wangependa baba yao awepo hata Kama atalala kitandani miaka 100. Umasikini,umasikini, umasikini period.
 
Pole sana lkn sijapendezwa na unavyowaza! Uyo mzee muulizeni vizuri utakuta ni wale wazee waliomezaga dawa wasife
 
Wakati mzee wako anakupeleka shule, anamwaga pesa zake kukupatia vitu vingi unadhani hakuwa anajua kuwa hata wewe ni maiti mtarajiwa, inawezekana baada ya kumaliza form 6 ushatumiza zaidi ya milioni 30 yake ukafa, lakini mbona alikuwa anakulipia ada tu.

Acha ufala, anaweza akafa na hicho kipato chako pia kikakatika, ukiwaza unaweza kupata mitoto kama hii unatamani umwagie nje tu.

Mungu anusuru kizazi changu kisiwa na mawazo mgando kama muanzisha mada.
 
وَقَضَىٰ رَبُّكَ أَلَّا تَعْبُدُوا إِلَّا إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَانًا ۚ إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِنْدَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلَاهُمَا فَلَا تَقُلْ لَهُمَا أُفٍّ وَلَا تَنْهَرْهُمَا وَقُلْ لَهُمَا قَوْلًا كَرِيمًا aya ya 23
Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima.

وَاخْفِضْ لَهُمَا جَنَاحَ الذُّلِّ مِنَ الرَّحْمَةِ وَقُلْ رَبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيرًا aya ya 24
Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni.
 
Kachukue dawa ya panya changanya na k vant mnyweshe afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…