dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Na wewe acha ufala mkuu. masikini unazaa ili iweje. fuata ushauri wa hapo juuMkuu nisamehe sana kukuita wewe ni "faller"
Sio kusudio langu lakini umesababisha mwenyewe.
1. Je maskini hastahili kuzaa?
2. Hujui mwenye nacho hufikisika?
3. Ukose pesa na watoto?
Tafakari
Mshana Jr
Huenda nawe umezaliwa na masikini tuNa wewe acha ufala mkuu. masikini unazaa ili iweje. fuata ushauri wa hapo juu
Mwendazake siye aliyerudisha huu utaratibu. Utaratibu huu umerudi awamu ya nne.Mkuu, upo sahihi! Mwaka juzi, mtoto wangu alichaguliwa kwenda Mafinga JKT, nami nipo Mwanza. Kwa upande wangu, ilikuwa nafuu, kwani kuna wengine walichaguliwa kwenda Songea.
Nikatumia nauli, pamoja na baadhi ya vifaa. Kufika huko, ikabidi arudi ili aje achague vyuo, hivyo ikanibifi nimtumie nauli. Baada ya hapo, nikamrudisha huko Mafinga. Baada ya kumaliza, ikabidi nigharamie nauli.
Ile kufika tu Mwanza, akaugua na kupelekea kulazwa hospitali wiki nzima!
Kwa kweli, binafsi sioni faida yoyote ya kupeleka watoto wetu huko. Mwenda zake, alikuwa anataka kuonyesha kuwa kila kilichowashinda/kuacha wenzie, yeye alikiweza!
dasikuwahi kufikiri kama kuna watu wa dizaini ya hiki kiumbe kilichoharisha hapaKama mzazi ni masikini kwa nini alizaa watoto. Ukijiona masikini usiache kiumbe duniani ishi mwenyewe ujitafutie mwenyewe chakula basi.
Uwe na akili ya ku intergrate mambo. Kujigharamia imeanza utawala wa Jiwe.
We pimbi, je mfumo wa zamani wa JKT ni sawa na wa sasa? Zamani wazazi walikuwa wana gharamikia?acha kutumia kamasi kuwazaJKT ipo kabla ya hilo unaloliita Jiwe, itoshe tu kusema umenajisi hoja yako.
Faida za JKT kwa ex-form SIX, ni pamoja na kukoma kwa migomo ya Vyuo Vikuu nchini TZ.
Faida zipi?Japokua JKT ina faida... Ila athari zake hasara ni nyingi mno
Acha kutumia kamasi kuwaza,Mkuu mbona uchangizi kwenye ujenzi wa ofisi za kanda za CHADEMA hujalalamikia?
We pimbi huu mfumo wa Wazai kugharamikia ndo umeanza enzi za jiwe, wacha kutumia Masabuli kuwazaMmh kumbe JKT ilianza enzi za jiwe aiseee
Unamuomba msamaha wa nini huyu ni fala nyangema tu, kwani kuna mtu ana penda kuwa masikini..? [emoji35][emoji706]Mkuu nisamehe sana kukuita wewe ni "faller"
Sio kusudio langu lakini umesababisha mwenyewe.
1. Je maskini hastahili kuzaa?
2. Hujui mwenye nacho hufikisika?
3. Ukose pesa na watoto?
Tafakari
Mshana Jr
Hadi nauli mkuu enzi zile unapewa kabisa na ela ya chakula njiani, achana na ivyi vifaa vingine ambayo tulikua tunagaiwa bureHaina tija, JKT ilikuwa zamani bana, enzi hizo unapewa kila kitu kuanzia PT short, raba etc, sasa siku hizi gharama hizi anapewa mzazi. Bora ifutwe tu
Utaratibu wa JKT ya zamani ilikuwa mtoto akienda anahudumiwa kila kitu, nauli anayotumia kwendea kambini urejeshewa baada ya kuwasilisha tiketi aliyokujia na kupatiwa nauli baada ya mafunzo. kwenye malazi walipewa vifaa vyote kuanzia nguo za mazoezi, viatu, shuka na mataulo. Ila baada ya kuja mzee baba na sera yake ya kubana matumizi hivyo vitu viliondolewa JKT ikabidi gharama hizo zibebwe na wazazi.Upumbavu!
Jiwe ndo alianzisha JKT?
NGOJA MIKUTUMIE NAMBA UWAAMBIE WENYEWE.. 😛Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za Kata.
Najiuliza taabu yote hii ya nini kwa wazazi? Kwani JKT ina umuhimu gani WA LAZIMA kwa maisha binafsi ya mtoto na mzazi?
Kama serikali haina hela ya kuwagharamia watoto, mzazi anazipata wapi?
Kama serikali haina hela za kuwaweka watoto makambini waache mpango huo wa kuwapeleka JKT. Wasiumize watoto na wazazi kwa mambo ambayo si lazima sana katika maisha yao.
Bado kuna watoto wanahitaji hiyo JKT, wawaache hao waende maana wana uhitaji na hiyo JKT
Kipindi cha JK hakukuwa na mambo hayo, huyo mzee kama aliuza alifanya hivyo kwa hiari yake tuuHata Mimi nilitaka kumuuliza.
Nakumbuka MWAKA 2014 Kuna mzazi Kijiji Fulani aliuza shamba ili kijana wake aende jkt.
Sasa sijui MWAKA huu jiwe alikuwa madarakani!!!
Bangi ni mbaya sana hasa ukiwa huna pesa,, unajikuta unaongea utopolo hadharani.Kama mzazi ni masikini kwa nini alizaa watoto. Ukijiona masikini usiache kiumbe duniani ishi mwenyewe ujitafutie mwenyewe chakula basi.
We pimbi huu mfumo wa Wazai kugharamikia ndo umeanza enzi za jiwe, wacha kutumia Masabuli kuwaza
Elimu huwa ni gharama. Vya bure mara nyingi hupuuzwa.Wakati wa kikwetr gharama zilikuwa chini ya serikali na vijana wengi waliosoma sayansi walipata ajira jwtz now ni maafisa jeshini.