Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

Mdogo wangu wamempangia aende Tabora huko. Wazazi wapo aende lakini mimi nimepiga pin haendi mahali. Yani akawe chakula ya migambo? Bora mabaharia wa uswazi tu.
 
Pole sana. Mimi niko kwenye mtanziko huo. Nimetumia jana laki 2 kununua vifaa, tena kwa kubana kweli kweli. Bado nauli. Naumia kweli maana hela haipo.

Jiwe ni laana, wacha aende zake, laaniwe Jiwe na wapambe wake.
Jiwe tena???.
 
Kama mzazi ni masikini kwa nini alizaa watoto. Ukijiona masikini usiache kiumbe duniani ishi mwenyewe ujitafutie mwenyewe chakula basi.
Hivi wewe Kwanini hukwenda Msamvu kuchota mafuta??.Watu km nyie ni kansa kwa jamii.
 
We pimbi, je mfumo wa zamani wa JKT ni sawa na wa sasa? Zamani wazazi walikuwa wana gharamikia?acha kutumia kamasi kuwaza

Usipende vya bure, utafanywa vibaya maafaka.
 
Kuwapeleka ni viherehere vyenu ,wengi hawaendi na Sijaona matokeo ya wao kutokwenda.
 
Nawakumbusha tu. Dunia inaenda kasi sana. Ukijiona kipato hakieleweki usizae hamna mtu wakulea watoto watoto wako.
 
Back
Top Bottom