Kwani ni nani huyu? Usijekuta tunajadili kuhusu chawa wa mboga mboga, halafu tukahusisha na neno akili! Wakati akili haina uhusiano wowote na hao watu.
Wote mnajifanya mnampinga simp Macha 🤣🤣ila mkija kwa ground Sheria zetu ndio zinatawala 🤣🤣🤣
Will u Kneel/Bend daun for someone?, Gentleme
n Vincenzo JrCertified Hater
Kumpigia goti mwanamke ni upumbavu na kumkosea Mungu, wanaume ni alama ya mamlaka na ulinzi katika wanadamu. Wanawake ni alama ya ustawi.
Mwanaume ni nguzo isiyopaswa kujishusha yeyenyewe ( kuonesha udhaifu na kupungukiwa).
Wanaume ni wanadamu tunaopaswa kujitambua sana maana ndiyo madereva wa jamii zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.