Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

Shida ni kuiga tamaduni za watu!!

Huwezi kumlaumu dobi kwa kutokutakanisha kaniki wakati hiyo ndiyo rangi yake!
 
Halafu hii hufnywa na wanaume wengi wasomi wa level ya chuo kikuu ni ngumu sana kumkuta mwanaume aliyeishia la 7 au ambaye hajasoma kabisa akifanya huu ujinga.

Pamoja na yote huu uinga umeshamiri sana DAR
Hakika hapa upo 💯💯💯

Alafu wengi wa dar😎
 
Kumpigia goti mwanamke ni upumbavu na kumkosea Mungu, wanaume ni alama ya mamlaka na ulinzi katika wanadamu. Wanawake ni alama ya ustawi.
Mwanaume ni nguzo isiyopaswa kujishusha yeyenyewe ( kuonesha udhaifu na kupungukiwa).

Wanaume ni wanadamu tunaopaswa kujitambua sana maana ndiyo madereva wa jamii zetu.
💯💯
 
Halafu hii hufnywa na wanaume wengi wasomi wa level ya chuo kikuu ni ngumu sana kumkuta mwanaume aliyeishia la 7 au ambaye hajasoma kabisa akifanya huu ujinga.

Pamoja na yote huu uinga umeshamiri sana DAR
Kuna kipindi wale unaowaona ni wasomi ni wajinga na wasiosoma ni wasomi. Elimu yetu imetujaza ujinga na woga na ulimbukeni kwa walio wengi wasio na akili na busara kuhoji au kukengeuka.
 
Kwa asili mwanaume ni mfalme, na mfalme ndo anayepigiwa magoti.

Hawa wahuni wanaobadili uanaume ndo wale ambao wanakubali kubadili matumizi ya viungo vyao, badala ya kupiga miti pisi anapigwa yeye
Feminist hawa, wapuuzi sans
 
Back
Top Bottom