Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Hahahahaaaa... Ukiwajua hawa watu code inakua rahisi kuijua. Mke nasikia alimkimbia siku nyingi. Nani angeweza zile scandal yarab. Yule ukimchekea anakutafuna unajiona. Na anavyovutia plus zile hela ndo tunamaliziwa hapo.
ha ha ha watatuua jaman hivi vibabu visivyotaka kuzeeekaa#vyumavimekaza#
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Jaman nimekumc madame, usinifanyie hivo
 
Na mtoto atakengeuka ikiwa tu huko shule anataniwa hivyo na nyumbani akirudi anakuta baba na mama minuno inatembea.. Ila akirudi nyumbani na kukuta hali ni ile ile ya upendo wa siku zote hapo hakuna baya lolote kwa mtoto..
 
I rest my case... At most umeamua kutokuwa mnafki na kuelezea hali halisi zilivyo..
 
Mungu alituumba sote kwa kusudi moja tu, tumjue, tumpende na tumtumikie, sasa wengi wetu kipengele cha kumtumikia ndio kinakuwa kigumu kwa kupumbazwa na ulimwengu ila kama kweli msando ni mume wa Jack kwa kusudi lake Mungu basi ipo siku tu atabadilika ila kama si wa kwake hata tukiombaje ndoa itavunjika tu, maana wengi huoa/kuolewa kwa tamaa za mwili, wengi nda zina mateso lakini hili tusimlaumu tu shetani tukubali kuomba kwa kumaanisha tupate yule alie halali yetu bial kuangalia ana fanana vipi.
 
Kwenda kujipumzisha mbali ni healthy kwa wote wawili.. Sio outing kama outing, wote wanapitia kipindi kigumu sana kwenda Vacation kutasaidia kufuta hizo bad memories. Hata Mandela alivyoachana na Winnie alikuja kutembea mbugani Tanzania..
 
Nimekuelewa vizuri sana, na najua Jack akisimama na Mungu, kila kitu kitafanyika kuwa kipya kwenye ndoa yao. Ila swali langu ni moja tu, yeye msando muda huu awe anafanya nini while mke yupo busy na kuomba? Siongelei haki sawa maana naelewa ndoa nyingi zinashikiliwa na wake, mke akisema basi na ndoa basi + huwezi kushindana na mpumbavu. Nachomaanisha ni hiki, yeye msando hana cha kufanya kuirudisha ndoa yake kwenye mstari? Hasikii aibu wala kuumia anavyoidhalilisha familia yake?

Ndoa zimekuwa kama project prayers kwa wanawake while men are busy doing their shits huko nje. Ain't a man supposed to be his family's prayer warrior? Mbona tunawatreat wanaume as if hawana vitu vyema vya kufanya kwa ajili ya kulinda ndoa zao? This is exactly our sons watakavyokuja kubehave na wake zao, na ni kwa sababu tumewalea hivyo, wao kazi yao ni kuprovide tu. Mwanaume fanya utakavyo, mkeo will clean the mess. Ukute mwanaume anayeiombea familia yake, mmmmh wachache mno. Unfortunately kwenye kuchagua mume tunaangalia mavigezo yetu tu ya kimwili, vya kiroho tunaviignore afu baadaye ndo wa kwanza kulia. I think it's high time tukabadilisha hii misingi mibovu ya ndoa kupitia malezi kwa watoto wetu since wakiwa wadogo. Kumcha Mungu si suala la jinsia moja, ni la kila mtu. Otherwise mmh
 
Na mtoto atakengeuka ikiwa tu huko shule anataniwa hivyo na nyumbani akirudi anakuta baba na mama minuno inatembea.. Ila akirudi nyumbani na kukuta hali ni ile ile ya upendo wa siku zote hapo hakuna baya lolote kwa mtoto..
ila aisee sisi wazazi tunakuwaga selfish sana.
hivi huwaga tunajiuliza kama tuyafanyayo yanawaathiri watoto wetu ama laa??
mke utalazimika kuvumilia manake tayari una watoto, mume hivi utaomba msamaha kwa mke mtoto je utamwambiaje?
huo muda wa kufanya haya na huyo mtu si ungekuwa na mwanao masai mara mnakula raha?
hapo ukute mama naye alikuwa kwa mchepuko. mtoto nickelodean ama boomering ikamuhusu siku nzima huku akipata matusi ya reja reja kwa dada wa kazi. mweehh
 
I rest my case... At most umeamua kutokuwa mnafki na kuelezea hali halisi zilivyo..
Wasalimie huko. Wanawake wengi ni "afanye tu ila me nisijue, aniheshimu tu", teh tunaogopa vivuli vyetu. Na sijui ni heshima gani tunayoitaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…