Umeongea ukweli mchungu, japo tutakupinga. Bora hata huyu na msamaha kaomba mwingine hata msamaha haombi na mke haondoki ng'oooo. Wengi wetu as long ninakula, ninavaa, nina pa kulala, watoto wanasoma vizuri basi mume fanya tu utakalo, me sikuachi labda unifukuze mwenyewe[emoji35] . Tena mume mwenyewe ndo anakupa life kama msando, wengi wasingeondoka + kuolewa kulivyo heshima hivi, mbona hatoki mtu, bado tuna msemo wetu "wanaume wenyewe wote wapo hivyo hivyo, utaacha wangapi? [emoji78] [emoji78] . Na tulivyojikatia tamaa sasa "me afanye tu ila nisijue", sasa kama yanayofanyika huko gizani ndo kama haya, aisee hata usipotaka kuyajua, utayajua tu kupitia afya yako. Mungu atusaidie