Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mweeeeeh!! Mungu azisaidie tu hizi familia.
 
Haha ndo ndoa zetu hizo. Afu ukute mke usingizi hauji kwa hofu maskini hadi mume arudi.
Sasa you can imagine baba wa hivi anaspend time na watoto wake saa ngapi. Aisee bond ya mtoto na baba haijengwi kwa kumlipia school fees.
Ila every man promises to be a good hubby to his wife and family.. Sijui ni nini kinakuja kutokeaga mpaka wengine wanakuwa wa aina hiyo
 
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
 
Haha ndo ndoa zetu hizo. Afu ukute mke usingizi hauji kwa hofu maskini hadi mume arudi.
Sasa you can imagine baba wa hivi anaspend time na watoto wake saa ngapi. Aisee bond ya mtoto na baba haijengwi kwa kumlipia school fees.
Sasa kama baba mwenyewe ndio huyu akirudi anaanza kufoka foka kila siku hao watoto hata watakuwa na muda nae!! Ndio ile akisafiri mnafanya sherehe na hamtamani arudi.
 
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
Si ndo maana Ndoa zimekuwa prayer project, ni kumuombea tu mume, yeye busy anapima oil kwa kina giggy
 
Tusikurupuke kumshambulia Alberto. Kwa maelezo ya Gigy kwenye hiyo screenshot yanaonesha ni jinsi gani Gigy alivyo KIAZI na MBURULA.
SHENZAOOO
Hata gigy sio wa kulaumiwa . we umesoma historia ya huyo binti vizuri?
 
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
na sabb ipo kwann ilikuwa kubwa sana..........
ni kwasabb tulitengua agizo la Mungu.
Mungu akatuacha tuwalinde wanaume
 
Hurumia kizazi chote sio cha wanawake tu ndugu. Maana madhara ya haya yanatupata wote japo upande wetu kama umekuwa mwiba mchungu zaidi!!
 
Inaonekana una ukaribu sana na huyo jamaa hadi unamuita jina la chumbani betho duh. Au na wewe kashakupanga?
 
Daaaah alafu ndio unamwona baba anachezea chezea hiyo nanii ya shangingi.. Sijui utamtia ushajaa dingi au utamtoa akili..
Akikugombeza unamcheki tu na kumtukana kimoyomoyo maana kumwambia hauwezi. Ila ukimkuta mtoto kichwa bangi mbona anakufungukia tu!
 
Aiseee alafu nasikia huko comment ni mbaya kinoma.. Sasa ukute mtoto ndio anazisoma na kuyajua afanyayo babake, aibu si aibu laana si laana..
Oooooh poor child!!! Unashuhudia mazito ya wazazi wako ktk umri mdogo hivyo ni trauma ya maisha, haitokaa ifutike kichwani mwake.
 
Hatari sana huo ndiyo ukweli mwenye sikio na asikie!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…