Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
hehehehehehe hilo jibu si zuri hata kidogo ila linachekesha sana.. Wanaume walevi wana majibu kweli kweli.. Kuna siku nilikuwa napata pombe na rafiki zangu waliooa nikawa sasa nawahoji hivi mnarudije nyumbani kila siku chakali tena usiku mnene na weku zenu wakawaelewa, jamaa wakanijibu "yaani ile unaingia nyumbani tu unapitiliza chumbani na kuanza kumgomea mkeo out of nowhere, mara chakula, mara mbona garden naona inakufa hapo mke wala hapati tena muda wa kuuliza ulikuwa wapi" daaah nilibaki nacheka tu..
Mweeeeeh!! Mungu azisaidie tu hizi familia.
 
Haha ndo ndoa zetu hizo. Afu ukute mke usingizi hauji kwa hofu maskini hadi mume arudi.
Sasa you can imagine baba wa hivi anaspend time na watoto wake saa ngapi. Aisee bond ya mtoto na baba haijengwi kwa kumlipia school fees.
Ila every man promises to be a good hubby to his wife and family.. Sijui ni nini kinakuja kutokeaga mpaka wengine wanakuwa wa aina hiyo
 
Betho sio kwamba hatakiwi kusali hapana......
ila apo ni lazima mkewe aanze kama akipata iyo neema hii ni kwasabb maandiko yako wazi hayadanganyi kwamba

mwanamke atamlinda mwanaume.

tena sasa Jack atubu kwaajili yake kisha kwaajili ya mumewe afu aanze kulipa madeni katika ulimwengu wa roho. asitake eti kujimwambafai atachemka. mpaka mumewe amuone Mungu kwake aambatane nae aseme hakika nimemuona Mungu kwake.
mambo ya kiroho ni magumu sana ila ni kwa Neema tu tunapata kuyajua
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
 
Haha ndo ndoa zetu hizo. Afu ukute mke usingizi hauji kwa hofu maskini hadi mume arudi.
Sasa you can imagine baba wa hivi anaspend time na watoto wake saa ngapi. Aisee bond ya mtoto na baba haijengwi kwa kumlipia school fees.
Sasa kama baba mwenyewe ndio huyu akirudi anaanza kufoka foka kila siku hao watoto hata watakuwa na muda nae!! Ndio ile akisafiri mnafanya sherehe na hamtamani arudi.
 
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
Si ndo maana Ndoa zimekuwa prayer project, ni kumuombea tu mume, yeye busy anapima oil kwa kina giggy
 
Tusikurupuke kumshambulia Alberto. Kwa maelezo ya Gigy kwenye hiyo screenshot yanaonesha ni jinsi gani Gigy alivyo KIAZI na MBURULA.
SHENZAOOO
Hata gigy sio wa kulaumiwa . we umesoma historia ya huyo binti vizuri?
 
Ninakupata sana unachomaanisha. Wanawake tuna nafasi kubwa sana katika ndoa. Too bad wanaume wanalitambua hilo na ndio wanatake advantage. Ile laana ya Eden naona ilikuwa nzito sana dhidi yetu.
na sabb ipo kwann ilikuwa kubwa sana..........
ni kwasabb tulitengua agizo la Mungu.
Mungu akatuacha tuwalinde wanaume
 
nadhani wanawake mnalakujifunza zaidi katika mapenzi kushinda mapenzi yenyewe nawaone huruma sana dada zangu wakipindi hiki cha digital yaani for your stronger hearts mmekuwa mkiangua chini ya bazazi na wanaume wanyama but wengi wakiamua kuongea na mioyo yao kwa ukaribu hutakuja kuona msichana mrembo akitumika hovyo katika mapenzi
Hurumia kizazi chote sio cha wanawake tu ndugu. Maana madhara ya haya yanatupata wote japo upande wetu kama umekuwa mwiba mchungu zaidi!!
 
very wise question my dear!
let me tell you, men they don't have an extra eye to see where women can see.
ukitaka Msando aanze kuwa prayer worrier kwa familia utakuwa unasahau jambo moja ambalo Mungu alilisema kupitia kinywa cha nabii Yeremia.

nanukuu '' nimeweka jambo jipya katika dunia kwamba mwanamke atamlinda mwanamume''

hapa inamaanisha kwamba mama anatakiwa aanze kuonyesha jitihada tena awe mpole na anyenyekee sana. manake Mungu hutizama kile unachotakiwa kukifanya na si kile ulichotaka kufanyiwa. akaiwa anafanya haya mumewe ataona Mungu kupitia mkewe na ataambatana nae.

makuzi ya watoto yako ivi, ukiwalea watoto toka udogoni kwamba kusali ni jkumu letu, na hofu ya Mungu ikajaa mioyoni mwao watoto hawa wakakua katika misingi iyo iyo na ukawanyima kabisa nafasi ya kuharinu imani yao, hata wakiwa ni wa kiume watasimama kuombea familia zao. ikiwa mtoto hajakuzwa ivyo usitegemee atajianzia tuu. kuna gharama za kulipa tena nyingi sana.

hujalijua hili, kilamwanamke ambaye Betho aliwahi kumuumiza moyo kwa namna yyte, ni mdai wa Betho katika ulimwengu wa roho. namaanisha hivi Betho anadaiwa madeni katika ulimwengu wa roho na wanawake wote aliowah kuwaumiza. jambo hili litamfuatilia Betho na hata watoto wake. Jack hakuliona hili (simlaumu) ila kama akiamua kurudi kwenye toba basi pia akumbuke kuomba Damu ya YESU IKAMLIPIE MADENI ANAYODAIWA BETHO NA WANAWAKE WOTE: akifanya hivo ataona jinsi ambavyo izo tabia zinamuachia na atafurahia ndoa yake zaidi ya hapo.
Inaonekana una ukaribu sana na huyo jamaa hadi unamuita jina la chumbani betho duh. Au na wewe kashakupanga?
 
Daaaah alafu ndio unamwona baba anachezea chezea hiyo nanii ya shangingi.. Sijui utamtia ushajaa dingi au utamtoa akili..
Akikugombeza unamcheki tu na kumtukana kimoyomoyo maana kumwambia hauwezi. Ila ukimkuta mtoto kichwa bangi mbona anakufungukia tu!
 
Aiseee alafu nasikia huko comment ni mbaya kinoma.. Sasa ukute mtoto ndio anazisoma na kuyajua afanyayo babake, aibu si aibu laana si laana..
Oooooh poor child!!! Unashuhudia mazito ya wazazi wako ktk umri mdogo hivyo ni trauma ya maisha, haitokaa ifutike kichwani mwake.
 
To be honest wababa wengi ni ile mnajua mtoto amekula, ameenda shule, anavaa vizuri, anatibiwa, the rest ni kazi ya mama yake. Baba muda wote anawaza madeal, mtu hawazi hata kuna family time, mkae mzungumze mcheze, muwafundishe watoto wenu etc. Baba kila siku anarudi watoto wameshalala mmh. Sasa ndo ukute mama naye ana mambo mengi, basi mlezi mkuu anakuwa house gal. Sad
Mtu umeoa lakini still unataka kubehave as a bachelor. Ndo hayo "ooh nikirudi mapema washkaji watanionaje". Ujinga tu na kushikiwa akili, usioe basi uendelee kuwaplease washkaji

Wewe usicheke bana, juzi mtu anaongea wanaume wengi mnajisahau kwenye ndoa zenu, wake zenu wanahitaji sana attention yenu , mtu kajibu "baba ako alikuwa anakupa attention" mweee
Hatari sana huo ndiyo ukweli mwenye sikio na asikie!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom