Gigy Money asaidiwe

ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
Umalaya umekuwepo kabla ya Gigy Money kuwepo.

Hyo unayoita maadili hayakuharibiwa na wasanii. Ukiona mtoto wako kaharibika ni sababu yako wewe kushindwa malezi usisingizie wasaniii. Yaani mtoto asikufuate wewe mzazi wake amfhate Gigy Money!
 
Mtu ameimba papaaaaa paaaapaaaa unategemea anaweza nini Cha maaana zaidi ya kuitumia hiyo paapaaaa!?
 
Atiii!!!!!?
 
I second this statement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…