Umalaya umekuwepo kabla ya Gigy Money kuwepo.ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
Hyo unayoita maadili hayakuharibiwa na wasanii. Ukiona mtoto wako kaharibika ni sababu yako wewe kushindwa malezi usisingizie wasaniii. Yaani mtoto asikufuate wewe mzazi wake amfhate Gigy Money!