Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
Umalaya umekuwepo kabla ya Gigy Money kuwepo.

Hyo unayoita maadili hayakuharibiwa na wasanii. Ukiona mtoto wako kaharibika ni sababu yako wewe kushindwa malezi usisingizie wasaniii. Yaani mtoto asikufuate wewe mzazi wake amfhate Gigy Money!
 
Mtu ameimba papaaaaa paaaapaaaa unategemea anaweza nini Cha maaana zaidi ya kuitumia hiyo paapaaaa!?
 
Ukweli usemwe hadharan na kweupe , kuna jamaangu alikuwaga anamkaza maza ake Gigy, sasa Gigy alikuwa akija kuchukua posho kwa jamaa akawa anamind sababu jamaa kijana akawa anasema yan baba badala angenitoambaga mimi kaenda kumtomba mama, haya baba naomba eposho kidogo jamaa linamkabidhi 😂😂😂, sa huyo si kaanza umalaya siku nyingi.
Atiii!!!!!?
 
Na mimi niliwaza kama hivyo. Huyu binti anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia.

Amefanikiwa kupata jina kubwa mno kuliko mafanikio aliyokuwa nayo na hili ndilo hasa linalomuumiza.

Ukichunguza anakuwa na uadui na kila mtu anaehisi ana mafanikio kuliko yeye hasa wanawake wenzake. Anahisi kila wanachopata wenzie ilipaswa akipate yeye.

Gigy Money ni aina ya watu anaetarajia ukiwa karibu nae umpe tu, hata ikiwa anakutukana uendelee kumpa kila anachohitaji. Kinyume na hapo unakuwa ni adui yake.

Gigy Money analaumu kila mtu kwa kukosa kwake isipokuwa yeye mwenyewe. Anajiona yeye ni victim kila sehemu.
Huyu nammithilisha na Ruby. Fikra zao zote ni moja.

Huyu binti anahitaji counselling ya hali ya juu mno. Hakuna malaya anejivunia umalaya. Huyu anajitoa ufahamu ili kuridhisha nafsi yake tu.
I second this statement.
 
Back
Top Bottom