Gigy Money na Jackline Wolper wahamia kwa Nabii Malisa

Wanahamisha mjadala wa DPW? Wamechemsha wakajipange upya.

This Time Watanzania wamewadharau wanafiki wote.
 
Matapeli wamekutana Ngoma droo
 
Na hakuna dhambi ya zinaa ya rohoni
Yesu mwenyewe alisema..... " kila amtazamaye mwanamke na kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni....."

Hilo ni onyo la tahadhari kutoka kwa Yesu kwenda kwa wanaume wote .

Na alimkazia... "jicho lako likikuletea shida ling'oe, ni kheri uende mbinguni ukiwa na jicho moja kuliko kwenda jehanamu na macho yako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…