Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Viwanda vinajengwa kwa wingi vinategemewa kuajiri nguvukazi. Mifumo ya kodi inapitiwa upya ili mzigo apanguziwe mwananchi wa kawaida.Nitafurahia sera ya kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja kama itakuwepo
Hiyo sera ipo Kwa kutekeleza miradi jumuishi kwenye sekta mbalimbali eg KilimoNitafurahia sera ya kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja kama itakuwepo
Kwa nini udanganye? Ungekuwa walau unafanya hata biashara ya kuvuka boda ungeelewa mambo kama haya ya kuimarika Kwa Shilingi ila Kwa kuwa wewe ni kiasi hakuna unachojua zaidi ya kuropoka ππInabidi tuombee Watanzania wengi watoke kwenye kudanganywa kama watoto. Tutawaombea
Haha wenzio hii hainui wananchi wanataka rais atangaze kuwa namtumbua mkurugenzi kwa kwa kushindwa kukamilisha mradi au kuwadai kodi ya trillion BarrickHiyo sera ipo Kwa kutekeleza miradi jumuishi kwenye sekta mbalimbali eg Kilimo
ππ
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866569996534440059?t=uJAN_xZwH8hUdwZxmYhDQQ&s=19
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866571575073378394?t=hGzNFng_ggffRPPfTAKbQw&s=19
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866571217064563047?t=aS8wC-JpTqik2SPNNFvtnw&s=19
Samia won't do that nonsenseHaha wenzio hii hainui wananchi wanataka rais atangaze kuwa namtumbua mkurugenzi kwa kwa kushindwa kukamilisha mradi au kuwadai kodi ya trillion Barrick
Wewe ndiyo mtupu kabisa.Wewe ndio dishi likeyumba na unahangaishwa na mihemko ya chuki.
Hoja hapa ni ongezeko la miradi zaidi ya mara 3 sawa ilivyowahi kutokea huko China ya Deng.
Hajalinganisha value hapo.
Sawa Nitaenda kijijini, (geza ulole), kama bado nitakuwa na nguvu pia kama wadau watanikaribishaHiyo sera ipo Kwa kutekeleza miradi jumuishi kwenye sekta mbalimbali eg Kilimo
ππ
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866569996534440059?t=uJAN_xZwH8hUdwZxmYhDQQ&s=19
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866571575073378394?t=hGzNFng_ggffRPPfTAKbQw&s=19
View: https://x.com/nirc_tz/status/1866571217064563047?t=aS8wC-JpTqik2SPNNFvtnw&s=19
Huna ulijualo wewe hater ππWewe ndiyo mtupu kabisa.
Nami nimekuwekea ufafanuzi wa ulinganifu.
Hivi kama gari linakwrnda kwa spidi ya 40km/hr, na jingine linakwenda 5km/hr. Kila moja likaongeza speed yake mara 3, yatakuwa yamekaribiana?
Maana yake hilo la mwanzo litaenda 15km/hr, la pili litakuwa kwenye 120km/hr. Kama yote yalianxia kutembea tokea sehemu moja. Baada ya saa moja, kabla ya kuongeza mwendo, la kwanza lilikiwa 5km kutoka starting point, la pili 40km from starting point. Baada ya kuongeza mwendo mara 3 yake, la kwanza lipo 20km, la pili lipo umbali wa 160km. Mara ya kwanza separation distance ilikuwa 35km, ya pili seperation distance ni 145km. Hivi hawa kuna namna yoyote ya kukaribiana? Na una uhalali wa kuwalinganisha? Yaani kobe akiongeza mwendo mara 3 anamkaribia chita akiongeza mwendo mara 3!! Shida kweli!
Acha kuleta ujinga wako kwenye mambo ya msingi ππSasa tumsamahe Mama huyu hata chaguzi za serikali za mitaa zimemshinda atawezaje uchumi
Acha kuleta ujinga wako kwenye mambo ya msingi ππ
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1856649634879295949?t=LcX5SRTceBMeDc3utMBmqg&s=19
Kiingereza ni kigumu kwako ππInabidi ujue namba. Tunajisifia kwa imports wenye akili wanajisifia kwa export. Yaani tunajisifia kwa kuleta mitumba wenzetu wanafanya uzalishaji. Tatizo la machawa wengi ni wajinga jinga. Kenya wana produce zaidi locally sisi tunaagiza ngano, mbolea, nguo, vijiko na ujinga jinga wote tunatengeneza unga tu wa ngano!!, sigara na vinywaji. Mama oyee!
Sasa kama huwalipi wazabuni wako ili walipe marejesho kwenye taasisi za fedha, kulipa kodi na kuwalipa mishahara wafanyakazi unakuja kutamba usichokielewa hapa ndo maana nimesema nakaa kimyaWeka hoja sio Kuandika kama mjinga.
Kukopwa wazabuni kumeanza awamu ya mama?
Kiingereza ni kigumu kwako ππ
Kiingereza ni kigumu kwako ππ
Hujui kizungu weweInabidi ujue namba. Tunajisifia kwa imports wenye akili wanajisifia kwa export. Yaani tunajisifia kwa kuleta mitumba wenzetu wanafanya uzalishaji. Tatizo la machawa wengi ni wajinga jinga. Kenya wana produce zaidi locally sisi tunaagiza ngano, mbolea, nguo, vijiko na ujinga jinga wote tunatengeneza unga tu wa ngano!!, sigara na vinywaji. Mama oyee!
Chawa oeyee
ππ sawa Chawa nipo Kariakoo mimi ni muuza mitumba tu.Hujui kizungu wewe
Hata ungekuwa unafundisha literature Udsm Bado wewe ni kilaza hujui kizungu ndio maana umeshindwa kuelewa kilichoandikws na gazeti.ππ sawa Chawa nipo Kariakoo mimi ni muuza mitumba tu.
Kwani huon hapo kuwa Uganda kanunua mzigo mkubwa toka tanzania kuliko kenya .Inabidi ujue namba. Tunajisifia kwa imports wenye akili wanajisifia kwa export. Yaani tunajisifia kwa kuleta mitumba wenzetu wanafanya uzalishaji. Tatizo la machawa wengi ni wajinga jinga. Kenya wana produce zaidi locally sisi tunaagiza ngano, mbolea, nguo, vijiko na ujinga jinga wote tunatengeneza unga tu wa ngano!!, sigara na vinywaji. Mama oyee!
Hata ungekuwa unafundisha literature Udsm Bado wewe ni kilaza hujui kizungu ndio maana umeshindwa kuelewa kilichoandikws na gazeti.
Bado hujasema ila takwimu ndio huwezi zifuta πππππMachawa mnatakiwa kuombewa sikujua kama bongo imefika hapaπ€¦πΎββοΈ. Nitakuombea ndugu yangu najua hali ni ngumu inabidi muunge mkono chochote ili muweze kuishi pole sana ndugu yangu. Tafuta njia za kujitegemea wasije kukuomba ubongβoe