Tetesi: Giza kuu la NASA na dalili ya kiama kwa utabiri wa Mtume (s.a.w)

Giza limo mioyoni mwa watu dawa ni kumpokea Yesu peke yake usihangaike na mambo ya ubashiri wa nyota na mwezi
 
Umempa haswa , kashiba sasa
 
Reactions: PNC
Kudadeki chezea manasara weye utabiri wa mtume wa allah lazima uwe comfirmed na infidel ndipo utimie, sasa subiri hiyo tarehe ifike kama wote allah na nasa hawajashikwa uongo
 
hiyo habari kama kweli mbona NASA hawaja weka kwenye website, na accounts zao za social networks!?
 
huyu huyu mudi aliyemuingilia bi aisha na miaka 11??
achana na porojo zake wakati mwenyewe anataka rehema!
 
Hii bandiko lako mkuu linasema ilikuwa rumour au tetesi na hata hivyo NASA wenyewe wameshasema haitatokea.Mkuu mengine ni matisho tu,kuweka watu roho juu!Shetani hiyo ni kazi yake pia.Kukutia hofu ili iwe rahisi kuku-manipulate.
 
Hizo imani za makabila yetu hata wewe unazifuata?
 
Wajameni tutauwawana kwa presha kama hii taarifa inaukweli ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…