NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Ndio maana Mheshimiwa kasema kaliondoa giza.Salaam, Shalom!
Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?
Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?
Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya
Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?
Basi sawa, tusubiri karma!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Kwa sababu hiyo wale wote walikuwa wanajificha gizani kwa sasa wanafanya nuruni.
Giza halipo tena.
Wapi haujaelewa Mkuu?