Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Ndio maana Mheshimiwa kasema kaliondoa giza.
Kwa sababu hiyo wale wote walikuwa wanajificha gizani kwa sasa wanafanya nuruni.
Giza halipo tena.
Wapi haujaelewa Mkuu?
 
Ndio maana Mheshimiwa kasema kaliondoa giza.
Ndio maana wale walikuwa wanajificha gizani kwa sasa wanafanya nuruni.
Giza halipo tena.
Wapi haujaelewa Mkuu?
Kumbe uelewa wangu ni mdogo kiasi hiki🤔
 
Sasa hiyo ni pressure ya kujitakia,

Kipi Rahisi, kumfuata KAZI IGP, Waziri Masauni au kuwaacha Ofisini uongozi wake , chama chake, viendelee kuonyeshwa vidole?
Dhambi ni dhambi Tu, dhambi yangu siwezi kumtupia IGP
 
Tatizo uwezo wake mdogo ndiyo maana anaona kama tz tumekuwa developed country kumbe hamna kitu.Huyu hafai kabisa kutuongoza .2025 hatutampa kura zaidi atapata kura mbili yaani ya kwakwe na mwanaye abdul
 
Ila ajue Mungu hadhihakiwi, yeye ana majeshi sisi tuna Mungu, na siku zote Mungu ni hakimu wa haki.
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Unapoteza muda wako kushauri au kumuuliza mpumbavu 😕
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
🤣🤣🤣 ivi nyie mnaichukulia tz sriaz ifanye upelelez kama tu hadht ya ajali ya wazr mkuu kwa wakt huo sokoine tuliambiwa aligongwa na dereva mgen wa lor alaf dereva wake akufa wazr yy alkufa kichakan ndy ujue Tz inawatu wake wakilitaka jambo lao lazma walitmize kwa njia yyte ile
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Tumejifunza nini kuhusu hao watu wa kitengo, (wasiojulikana), je wataendelea kutojulikana hadi lini, je jamii inayajua madhara ya watu wasiojulikana?
 
Back
Top Bottom