Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Giza la kiuchumi, ni vigumu kwa Rais kushughulika na kila kitu kwa wakati mmoja.

Madaraka yake ni makubwa na nilimuelewa Mbowe alipotaka apunguziwe ukubwa wa majukumu yake.

Wakati wa JPM maiti zilikuwa zikiokotwa Coco Beach kila siku, tukasema Yeye Rais ni muuaji leo hii mauaji yanaendelea kama kawaida.

Ujambazi, uuaji, utekaji na unyama wa kila aina ni hulka za binadamu.

Kule USA kuna kesi hazijaweza kutolewa hukumu zina miaka 30 mpaka 40, upelelezi unaendelea mwaka baada ya mwaka.

Tatizo letu labda ni uoga wa kibinadamu, kutozoea kuona unyama ukiwa ni sehemu ya kawaida ya maisha yetu ya kila siku.
 
Tatizo liko kwenye jamii, jamii ndiyo ina nguvu ya kuweza kuyakomesha yote haya, lakini jamii iko mapumziko hoteli, (likizo)
 
Umaskini pia unachangia, mtu anaishi na msongo wa mawazo muda mwingi wa uhai wake na akijitokeza wa kumzingua haraka sana anamfanyia unyama usio na kifani.
 
Salaam, Shalom!

Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa na watu waliokuwa na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani?

Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani?

Pia soma: Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Giza lipi Hilo uliloliondoa kiongozi wetu?

Basi sawa, tusubiri karma!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏

Yuko kwenye mgandamizo mkali sana, vipindi vya kutojua ushike wapi na ufanye nini uwa vipi....tumuombee.
 
Tumejifunza nini kuhusu hao watu wa kitengo, (wasiojulikana), je wataendelea kutojulikana hadi lini, je jamii inayajua madhara ya watu wasiojulikana?
Ikifika time wananchi wagomea kukamatwa na polisi kumhofia kupotezwa na kuuwawa isivyo HAKI, Imani Kwa Serikali Toka Kwa wananchi utaondoka na kupelekwa Nchi kutokutawalika.

Sasa hii ni Kwa faida ya nani?
 
Ikifika time wananchi wagombea kukamatwa na polisi kumhofia kupotezwa na kuuwawa isivyo HAKI, Imani Kwa Serikali Toka Kwa wananchi utaondoka na kupelekwa Nchi kutokutawalika.

Sasa hii ni Kwa faida ya nani?
Faida kwa CCM, lakini hasara kwa mama Tanzania
 
Body language inaonesha yuko kwenye pressure kubwa asiyoweza kuhimili
Yaani amesahau kwamba yeye ni Rais wa wanao mpemda na wanao mchukia. Na kwamba ata linda wote bila kubagua. LakiniMama ana wa mabegani na mgongoni.
Hivi unawezaje kusema huja ua wakati maiti zina okotwa? Na wewe ndie amiri jeshi mkuu?
 
Na wanao tuhumiwa wanadundazi kama mhusika wa tukio la yule aliye tupwa msituni kule kigoma, (Sativa), ili aliwe na wanyama wakali, ama kumezwa na chatu, kwasasa huyo mhanga, ametoa notisi ya siku 90 kumdai IGP na wenzake fidia ya bilioni 5. "Silence surrenders public responsibilities", kunyamza ni ishara ya kuyakimbia majikumu kwenye jamii zetu, hatuwezi kuwa na jamii ya bora liende
 
Wahuni wameiteka serikali, mkuu wa serikali anaogopa kuwasema na kuwashughulikia wahuni.
 
Back
Top Bottom