Uingereza ni nchi maskini tuu kinachowaweka mjini ni colonial legacy na koloni zao mbili hapa afrika kenya na bostwanaUnajua kuwa magari ya aina ya ROVER zikiwemo Range Rover, Land Rover nakadhalika yanatengenezwa Uingereza hivyo tunaweza fanya biashara nao ya kutosha pamoja na bidhaa nyingine nyingi!!
Sisi tunaweza wauzia KATANI na MAPARACHICHI! Ndio iitakuwa kazi ya hizo CARGO planes zilizoagizwa!
Leo ndiyo kwanza tarehe moja Mkuu, kuna picha inakuja kesho, hivi kwanini mnaiombea mabaya nchi yenu Mkuu, Rais wenu kupiga picha na Boris inawauma sana?Balozi na waziri wa mambo ya nje ndio kazi yake mbona huyo boris hakuwepo kamtuma muwakilishi.. wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa ushamba wa mzungu
Sawa Mkuu wanguNasubiria
Shika adabu wewe cheti feki. Maovu gani kwa kuwadhibiti fisadi?!NASHAURI MAMA AOMBE MSAADA WA SCOTLAND YARD WAJE WAFUKUE MAOVU YA MAREHEMU NA WARUNDI WENZAKE
Ukosrfu wa hiyo mvua utasababishwa na nini?CC haitugusi? Pole sana Mkuu, umesikia juzi tumetangaziziwa tutakosa mvua which itaathiri upatikanaji wa chakula nchini?
Punguza uoga na wasiwasi mkuu.Waingereza wana haraka kumvaa samia wakijua hana msimamo na ujuzi thabiti kwenye maslahi ya taifa lake. Utaona kama hawajamwingiza chapchap mkenge mwingine kuliko ule wa tony blair eti kua msemaji wa covid wa tanzania na eti kuitangaza tanzania kusafisha jina lake. ..kwa bei ya wizi. 😂😂🤣🤣🤸🤸🤸🤣🤣🤔🤔🤔
CCUkosrfu wa hiyo mvua utasababishwa na nini?
Kwani huyo mwenyewe hajahudhuria mkutano mpaka atutumie mjumbe
Watu mnachuki na nchi yenu balaa hahaha, Akikutana na Kenyatta wewe unafaidika nini?Ana Mambo muhimu ya kufanya kuliko kukutana na kupoteza muda na huyu mama ,, Boris amekutana na akina Kenyatta
Hakuna ugonjwa huo mkuu kama nafsi yako haina makandokando ya majivuno na jeuri isiyo na msingi.Balozi na waziri wa mambo ya nje ndio kazi yake mbona huyo boris hakuwepo kamtuma muwakilishi.. wewe unasumbuliwa na ugonjwa wa ushamba wa mzungu
Kuna Rais hapa Tanzania aliisha wahi kutana na Marais wote wa dunia,lakini nchi ndio ilizidi kuwa masikini, Sembuse huyu anayekutana na wawakilishi? Tanzania tukiondokana na akili tegemezi ndipo tutasonga.Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney
Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa muda mrefu, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazoongoza kuwekeza Nchini
View attachment 1994240
Mama hana kandokando hata moja, hili linawaumiza sana hawa mafisadiHakuna ugonjwa huo mkuu kama nafsi yako haina makandokando ya majivuno na jeuri isiyo na msingi.
Hata kiti hawajampa, na bado waziri mkuu hajakutana naye. Wazungu wanadharau Sana.Haya twende.....
Aache uongo lini tumefanya biashara na Uingereza
Usikimbie tu hapa Mkuu wangu....Hata kiti hawajampa, na bado waziri mkuu hajakutana naye. Wazungu wanadharau Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
B.J kamtolea nje,halafu hawa wakata mauno wanasifiasifia🤨😀Si ni mkutano wa wakuu wa nchi BORIS amegoma kuja? Hwy mjumbe tena mnamuita "maalumu"
"Okay Tony Blair je? huyu tuna jambo nae ni mshauri wetu"
Mama hataki dhuluma, and TZ siyo kijiji mjombaR
Kuna Rais hapa Tanzania aliisha wahi kutana na Marais wote wa dunia,lakini nchi ndio ilizidi kuwa masikini, Sembuse huyu anayekutana na wawakilishi? Tanzania tukiondokana na akili tegemezi ndipo tutasonga.