Tetesi: God Forbid ! Sam Misago.anaweza kujiua!!!

Sasa kama hafanyi si aka react, kwa dudu baya..!
 
UMEWAHI KUWASHWA HUKO NYUMA?

MBONA UNAONGEA KAMA MJUVI? (KUNGWI?)
 
KONKI KONKI MASTER KACHAFUA HALI YA HEWA...ila binafsi nina imani hao wote waliotajwa wanahusika moja kwa moja coz haiwezekan KONKI ajiamin kias kile......either atakuwa kawapitia yaan kawapumulia au ana ushahid moja kwa moja
Dudu kasema kuwa wakibisha wakapimwe na wakionekana wapo fresh yeye yupo tayar kutumikia adhabu yoyte.....Gwajima aliambiwa anatumia madawa ya kulevya akasema yupo tayar kwenda kupima, issue nzito sana kuambiwa we ni shoga af ukabak unalanda landa tu mtaani bila reaction yyte...ukimya wao unadhihirisha Dudu yupo sahibi
 
UNA SHIDA KICHWANI WEWE!
 
Umenena jombaa...
 
Huyu Konki anapokea malipo sehemu ndo maana anajiamini vile , Anyway Sam apige kazi aamchkulie mjinga tu . Kuna watu uki watake serious waweza ona maisha magum na kupata stresz zisiyo msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…