Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Walikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.

Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!

Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
 
Na madhambi ya Jiwe ya uuaji, ushambuliaji watu kwa risasi, utekaji, uporaji na utesaji yalikuwa yakilindwa na nani?
 
Na utabiri wa Ndugai nao kuna aliyekomenti 2018 ?
 
Kwa kifupi Bwana ameitendea haki Tz kwa yaliyotokea yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…