BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Wanao faaa ni wale wapigaji? Mjinga sana, hizi swagwa kawadanganye Wazazi wako kule bushi ambao wanaishi life gumu saba kisa CCMLakini kuna matanzania Mapumbavu yanamuona Lissu kama shujaa
Huyu jamaa hafai kabisa.Kwanza kitendo cha kulistaki taifa lake kwa Wazungu hicho kitu kilinifanya nimuone hafai kuwa tena ata mwenyekiti wa kijiji katika hii nchi
Kuwa na madeni ni sifa ya mwanaume, shida wewe Mwanamke huwezi jua haya, umezoe kukaaa Bwana ako anakuletea tu, labda sana ukajiuzeTapeli wa kisiasa. Alikimbia madeni. Dawa ya deni kulipa.
Hawa ni wanawake wanalalamika Lema kuwa na Mkopo, hawajui kwanza kudaiwa ni sifa ya Wanaume? Hawa ni Mademu sasa madeni wajulie wapi?Deni alikopa kwa nani, dhamana ilikua nini, kama hajalipa shitaka limefunguliwa wapi au mali ipi imepigwamnada? Nijibu hili kwanza kabla sijaleta vipengere vinavyofuata
Mme wako anaweza kuwa ni wale wajinga Chawa kama sio Lemutuzi basi atakuwa ni moja ya wale jamaa wa Cloud TV na Radio wakina Mwijaku, wale wana sifa za kuwa waume zakoMume wangu hasingizii kwamba nchi inataka kumuua kama anavyozuga huyo zombie wenu
Lianzishwe jukwaa lao maalum wasiyujazie nyuzi za kipungaHawa ni wanawake wanalalamika Lema kuwa na Mkopo, hawajui kwanza kudaiwa ni sifa ya Wanaume? Hawa ni Mademu sasa madeni wajulie wapi?
Kabisa, Humu wamejaa wadada eti, ndio ho unaona wamejaa humu kulamu Lema kudaiwa hawajui ndio zet wanaume kudaiwa na tena saa zingine tunaingi mitini na madeni. Wamezoe kuhongwa hawawezi jua hayaLianzishwe jukwaa lao maalum wasiyujazie nyuzi za kipunga
Uchaga umeingiaje wewe kibwengo?Kuwa na Madeni ni uanaume, hakuna Mchaga asie kuwa ba madeni, wajinga nyie mmejaa homoni za kike hadi mnaona kuwa na deni ni kosa
Mie nimemtaja Mbowe tu huku nikijua wapo wanasiasa wengi, na issue sio kuamini hicho mnachokisema bali nimetaka kujua tu kipi kinachompa uthubutu Mbowe wa kuweza kuwepo nchini bila kuhofia usalama wake kama ilivyo kwa Lissu na Lema? Hao ambao ni tishio kwa Lissu na Lema hawana tatizo na Mbowe au Mbowe ana namna yake ya kujilinda nao?Swali lako ni sawa na na wale wanaosema kama Jiwe alikuwa muuaji mbona wewe hajakuua. So wew ulitaka wanasiasa wote wakimbie ndiyo uamini. Pathetic
Hakuna mwenge ubavu wa kumgusa mbowe.ata lofa aliyekufa asingewezaIla mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Wivu wa nini dude.Unasumbuliwa na wuvu na ujinga,
Sexist . Kwako nahsi dada zako ukiwepo wanaongelea uvunguniUtapeli ni sehemu ya wanaume, sema wewe Dasa sijui Mama au shangazi nikuite! Unaona madeni ni ishu sana?
Kwahiyo kifo kwako ww ni utukufu wa mungu?Huyu alitabiriwa kufa kwa kipindi fulani kifupi sana na ikawa .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Kwani tuseme Lissu alikuwa si lolote ndio maana alimiminiwa zile risasi na kwa uoga amejificha nje ya nchi ila Kidume Mbowe kabaki nchi na hakuna aliyemgusa?Hakuna mwenge ubavu wa kumgusa mbowe.ata lofa aliyekufa asingeweza
madeni sio mdeni , kama neno dogo limekushinda kuandika usijaribu kuwa na watoto watakuwa wapumbavu mara kumi zaidi Yako.Sawa Mama, ila kwa wanaume kuwa na mdeni ni kawaida sana, shida nyie Wanawake mnaona mwanaume kuwa ba madeni ni kosa sana
Ewe lisu amefanya nini hapa Tanzania cha kukumbukwa fala wewe na famila yakoWanao faaa ni wale wapigaji? Mjinga sana, hizi swagwa kawadanganye Wazazi wako kule bushi ambao wanaishi life gumu saba kisa CCM
Hao ni watu ambao ni kama wewe unavyoamini kuwa Jiwe alikuwa kiongozi bora na mwamba wako. Jamii yoyote haiwezi kuwa na watu wenye akili wote, lazima wapumbavu wawepo pia na ndiyo maana ya jamiiUganda wanatambua Amin alikuwa kiongozi bora, na wote waliouawa walikuwa mamluki.
Hao ni watu ambao ni kama wewe unavyoamini kuwa Jiwe alikuwa kiongozi bora na mwamba wako. Jamii yoyote haiwezi kuwa na watu wenye akili wote, lazima wapumbavu wawepo pia na ndiyo maana yaUganda wanatambua Amin alikuwa kiongozi bora, na wote waliouawa walikuwa mamluki.
Una maana wale walio left group?Mme wako anaweza kuwa ni wale wajinga Chawa kama sio Lemutuzi basi atakuwa ni moja ya wale jamaa wa Cloud TV na Radio wakina Mwijaku, wale wana sifa za kuwa waume zako
Mbowe alikimbilia Dubai akarudi baada ya JPM kufaIla mimi najiuliza kwanini Mbowe nae maisha yake hayapo hatarini kiasi cha kukimbia nchi ili kujihifadhi kama wenzie?
Punguza wivu Kwa wafanyabiashara fanya kaziWalikuwa watabiri au majangiri waliungana kusuka mpango kabambe wa kumuondoa jiwe? Unakumbuka ile picha aliyokapost Zitto baada ya Jiwe kuletewa moshi kule Ruangwa? Zitto alimpost Samia akikagua gwaride na akaandika sasa zamu yako imefika! Kipindi hicho taarifa zilizopo mtaani kuwa jiwe kakikbizwa South Africa na yupo mahututi.
Jana hapa JF nineona nyuzi moja iliandikwa mwaka 2018, kuna jamaa alikuja kukoment kuwa 2023 hatofika, tutakuwa tayar tuna Rais mwanamke!
Kwa muunganiko huu kuna kila dalili ya shakha kuwa kuna watu waliungana kuhakikisha wanamuondoa jiwe! Na muungano huu unashirikisha vyama vyote vya siasa na wafanyabiashara wakubwa ili kulinda madhambi yao.
Kwani hujui Siasa ni uongo !?Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia?
Acha uzushi
[emoji116]
View attachment 2488095