Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

corona imekuja
Hii corona ya Tanzania ni tofauti na ile ya sehemu nyingine za dunia. Ya Tanzania inatokana na laana za machozi ya wananchi dhidi ya dhuluma na uonevu wa wananchi.

Ndiyo maana imekomaa na vigogo tu. Wasipotubu watakwisha!
 
Unazungumzia wananchi gani mkuu hawa tuliyowaona kwenye huu msiba wa Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…