Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Kumbuka pia mtu anaweza kutumia mwanya huo kufanya kweli. Matukio ya kutengeneza yanawawekeni kwenye tashwishwi ya kutoaminika japo kwa sentimita moja.
Acha porojo mkuu, taifa laingia kuzim we washangilia
Iko hivi mkijifanya ngangali mwafaa, wapinzani sio wajinga na watz sio wajinga,
Kwa taharifa yako tifa mpaka mda huu limejaa upepo inasubiliwa lipuka basi
Unaongozaze taifa ambalo Lina nyufa, kamati ya fitina ya ccm imechemka pakubwa mkuu
 
I hope this is fake news.

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?

Tunpambana na wapinga maendeleo, vibaraka wa mabeberu. Vita ya kiuchumi.
 
Duh! Sisi wenyewe tupo tupo sababu hatuna umaarufu wowote na pia tunatumia I'd feki.
 
Nchi imefika mahali ambapo wengine hawana haki na nchi yao, wamegeuzwa wakimbizi ndani ya nchi yao. kwa mara ya kwanza ndani ya Tanzania raia wanapigwa risasi kama nguruwe wezi wa mihogo wakati vitendo Kama hivi tulikuwa tunavisikia kwa majirani zetu.
Too much exaggerations + misrepresentations of facts
 
Hawezi kutumia ulimi wake vizuri kama wengine hawatumii ya kwao vizuri, Kuna watu wana jazba hata ukiwajibu vizuri wao wanakubwatukia tu.
Yaani mtu ana gubu utafikiri nini sijui...analazimisha ukubaliane na mawazo yake,kila lisemwalo uamini bila kuhoji.
Big problem hiyo
 
Lazima tumwogope kwa sababu ajenda yake kuu ni kuzua fujo na machafuko; hataki kuona Tanzania ikifanikiwa na kusonga mbele.
Well, nafikiri mkimalizana na Lissu bado mtaenda kwa yule mnayehisi ana hujuma mbaya na Raisi..nyama ya mtu ni tamu be aisee.
 
Eeh bana eh hebu niache kamanda, mimi naugulia machungu ya makamanda wetu kujificha huku wakiomba ukimbizi. Sasa hata sijui tutaingiaje barabarani manaake nilifikiri makamanda wetu wakuu ni majasiri.
Aisee, la maandamano lishaisha, nashangaa mnafake hadi barua ya Makene, hamjishtukii?😄😄
 
Binafsi nisichangie chochote kumhusu.
Aisee!
Ila tu. kama nchi yangu Tanzania ip katika hii hali wanasiasa wanayotaka kutuaminisha, tusingeshindwa kuingia mtaani na kuwaunga mkono.
Siku mchepuko wako ukibambikiziwa kesi na wewe ukapigwa walau turisasi tuwili mwilini ndio utaamini! Kwa sasa endelea kukenua meno!
Mbona hapa kitaa barida tu.
 
Hacha porojo mkuu, taifa laingia kuzim we washangilia
Hiko hivi mkijifanya ngangali mwafaa, wapinzani sio wajinga na watz sio wajinga,
Kwa taharifa yako tifa mpaka mda huu limejaa upepo inasubiliwa lipuka basi
Unaongozaze taifa ambalo Lina nyufa, kamati ya fitina ya ccm imechemka pakubwa mkuu
Umeandika vitu gani hivi sasa???
 
Yajayo yanafurahisha, tulikuwa tunawapokea Wakongo, Wasomali, Waithiopia, Nk kama wakimbizi waliokimbia maisha ya mateso Nchi mwao

Sasa tutapokelewa Sisi, halafu anatokea mpuuzi anasifu awamu hii....

Nchi inameguka,nchi inakwenda mrama,mnaoshangilia shangilieni, Lakini mjue yajayo yatamkuta kila mtu alie CCM na asie CCM..
 
Back
Top Bottom